stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,317
- 33,837
si ndo ikogo ivo alwaysNgoja tuone
si ndo ikogo ivo alwaysNgoja tuone
we unashangaaa hizo, cheki lights ukuAisee elevator na ceiling za Talanta! Hivi ni kweli huu uwanja ume-cost US$ 1.4 bln?
![]()
cost yake ni 150B sio 1BAisee elevator na ceiling za Talanta! Hivi ni kweli huu uwanja ume-cost US$ 1.4 bln? Rangi za hospitali! Na elevators cheap!
![]()
VS
View attachment 3577005
nimeandika in US$!cost yake ni 150B sio 1B
in us ni $350M, $1B in nyingi sana for a stadium, for $1B unapata santiago barnabeu full kama ilivonimeandika in US$!
wanaenda kulipa zaidi ya US$ 1.4 bln! Don't forget the cost of debt servicing!in us ni $350M, $1B in nyingi sana for a stadium, for $1B unapata santiago barnabeu full kama ilivo
Uganda wanalalamika hawakupewa Open or close CHAN so they want this time to be involved either open or closenimeandika in US$!
ndio matatizo ya TFF kualika watu ambao hawakua hata na chembe ya kutaka ku-host!Uganda wanalalamika hawakupewa Open or close CHAN so they want this time to be involved either open or close
wanaenda kulipa zaidi ya US$ 1.4 bln! Don't forget the cost of debt servicing!
View: https://x.com/Kibet_bull/status/2043226021961363682
actually inafika kama $1.2BYes, ukija kujumlisha na yale makoro koro ya interest ni net $1B
Amna they have a point, kumbuka na wenyewe wamelipa $30M kwahio they have a point, so either Kenya and tz mmoja atapumzika na kwa vile BID tuliweka sisi basi .......... 🤣🤣🤣ndio matatizo ya TFF kualika watu ambao hawakua hata na chembe ya kutaka ku-host!