Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,887
- 103,753
Kasema treni zao zinatembea 99km/h!Ila kuna Tahira humu anadai kuwa chuma inatembea 200kph wakati aliyekuweko kwenye cabinet meeting iliyopitisha mradi wa SGR anasema treni ina uwezo wa 164kph ila reli ndio shida sasa.
Waongeze speed tuone bolts and nuts zinavyoruka toka kwa reli 🤣🤣🤣Sasa kama wana rickety railway wataongezaje speed? Labda Lewis254 ana jibu!
Aloo, mabingwa wa vitu low standard, waliona render ya interchange ya Ethiopia nao wakaiga, kosa walilofanya ni kuwapa mafundi wa kikenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acha utoto.Cheki viatu 🤣 🤣