muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,852
Ukiwa umeshiba huwezi andamana yaani unaanzaje kuandamana wakati baada ya kula mtu unatakiwa upumzike chakula kishuke 🤔🤗🤣🤣🤣🤣 but kundustan muda wote wananjaa wacha waandamaneWewe hujaona Gen Z wana faint mahakamani kisa njaa mpaka hakimu anawanunulia maziwa 🤣🤣🤣🤣
Ikizorota watakaokufa njaa ni nyie nyang'au,sisi tunavusha chakula tyuMnatutegemea sana.
wacha gubu mzee! sikiliza content unachoona za kubandika wenzio tunapenda!Yani wanawake Bana SASA anatuonesha kucha za nn 😂😂😂😂 kucha zenyewe zakubandika
Nani anategemea mwenzie? South Sudan watakuja!Mnatutegemea sana.