Ni kweli kinahitajika kipimo kingine kizuriSawa, ila ukumbuke sio wote wanafanya kilimo cha biashara, wengine wapo busy kulima na sehemu kubwa inatumika kulisha familia. So, ni vitu vichache sana wananunua mfano viungo vya chakula na pesa wanaipata kwa kuuza maziwa na sehemu ndogo ya walichovuna. Kama barter trade hivi
So, kile walichotumia kulishia familia kutoka shambani sidhani kama kinakua tracked ipasavyo