Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Another dual carriageway in Mombasa taking shape.
IMG_20240705_091850.jpg
 
Kasarani taking shape. Look at the environs and compare to Makwapa!!! I believe Makwapa will ashame EA with its sprawling dream houses
View attachment 3034875View attachment 3034876
Mbn upo vile vile tu mzee, huu uwanja ni wa kizamani lkn pia hata aliye design alikosea sn, aliujenga kwa mtindo wa Ngoma 🥁 so hauwezi kupendeza hata iweje mkuu, sio kwa ubaya lkn 🙏

Na mwisho japo sio kwa umuhimu, hivi huo uwanja mliujenga porini? Serious question..
 
Gor Mahia itashiriki CECAFA, confirmed, watakuja kucheza na timu dhaifu za Tanzania na nyingine za EA, Yanga, Simba na Azam hazitoshiriki kutokana na ratiba kuwabana, wamepewa mialiko nje ya nchi, mfano Yanga imealikwa na Kaizer chiefs kutoka South Africa, pia imealikwa na waziri wa Kenya kwenda kuzindua uwanja wa kisumu japo sidhani kama itapata nafasi ya kwenda Kenya mana pia ina mualiko na timu fulani ya Ulaya, football nation 🇹🇿 🇹🇿 ❤️ ❤️ 😘 😘 😍 😍 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
 
👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20240706-132542~2.png

No Simba, no Yanga, no Azam na bado timu kubwa za huko kwao zitakiona cha moto kwa timu dhaifu za Tanzania, yn hii michuano imeonesha dharau na hatua kubwa tuliyopiga Tanzania katika soka ngazi ya vilabu. Na nawaambia hizo timu dhaifu za Tanzania moja wapo itachukua ubingwa, a real football nation 🇹🇿 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
 
Kenyans wakikohoa tu, all Afrika is in panic!! Ona sasa Nigeria!!! Suluhu wanahangaika, Museveni Is trembling, South Africans are worried.
View attachment 3034843
Acha kujificha huku dogo, mshaharibi nchi na Maandamano uchwara.

Mnapigia kelele maisha magumu huku mnazidi kuharibia ndugu wenu wafanyabiashara. Kuchoma choma.
 
Back
Top Bottom