RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,872
- 129,873
Kenya hakuna watu wanaovaa kandambili au viatu vibaya?Vikaragosi wa Samia walivyochoka.
Cheki viatu 🤣 🤣
Kenya hakuna watu wanaovaa kandambili au viatu vibaya?Vikaragosi wa Samia walivyochoka.
Cheki viatu 🤣 🤣
Unaambiwa wamekula milo mitano kwahivyo sio lazima waandamane,Cheki viatu 🤣 🤣
Aisee hapo sasa! Ila miaka mitatu ni mingi sana kama Yapi Merkezi na serikali wakisikilizana! Tatizo tender imetolewa kiboya bila bidding! TRC hawawezi kuiwajibisha Yapi Merkezi na nilipiga kelele humu ndani!Hiki kipande cha Makutupora to Isaka kinaweza kuisha in 3years ?.Je Yapi wako site
Milo mitano ndio aim. Yani bora washibe. 😂😂Unaambiwa wamekula milo mitano kwahivyo sio lazima waandamane,
compare na Gen Z walivyo well-dressed 😂😂😂
Sasa mzee unataka mtu aende shambani na moka? Hao ni wakulima wa mahindi. Na mwaka huu wamesema wanauza Zambia. Jiandaeni na maandamano mengine November.Unaambiwa wamekula milo mitano kwahivyo sio lazima waandamane,
compare na Gen Z walivyo well-dressed 😂😂😂
Mmekalia mauwivu ya kinyang'au nyie; hamna lolote😎😎😎Milo mitano ndio aim. Yani bora washibe. 😂😂
Vipi umefukuzwa Kenya talk?Sasa mzee unataka mtu aende shambani na moka? Hao ni wakulima wa mahindi. Na mwaka huu wamesema wanauza Zambia. Jiandaeni na maandamano mengine November.
NGO zifungue kesi kuzuia hili gari Moshi kwa uchafuzi wa mazingiraNo moshi at all, alafu huyo mbwa analeta picha eti bichwa la ng'ombe halitoi moshi, uliona wapi? Picha imepigwa bichwa likiwa limesimama eti "halitoi moshi" tubaki humu 👇 👇 🤣 🤣 🤣 View attachment 3034391
Yaani Hilo ndo komwe sasa Kwa wale wasiolijua🤣🤣hio forehead mzee nahisi ishafika July so far😂😂
Wewe hujaona Gen Z wana faint mahakamani kisa njaa mpaka hakimu anawanunulia maziwa 🤣🤣🤣🤣Unaambiwa wamekula milo mitano kwahivyo sio lazima waandamane,
compare na Gen Z walivyo well-dressed 😂😂😂
Kwa hatua zilizochukuliwa kwenye budget ya mwaka huu tutegemee shilling kuongezeka thamani.Hizi tani 6 kwa kuanzia sio mbaya kabisa, Zimbabwe wana tani mbili tu na dola 100milioni cash ndo zinalinda ziG. Hii itasaidia sana kudhibiti kupanda na kushuka kwa shilingi
Kitu kimegota hakijakamilika tu! Barabara zimejaa tope!
Ila bongo bata linaliwa wakuu. Hii ni kitambaa cheupe cha Sinza.. asubuhi saa mbili watu wanakula nyoka tu.
View: https://www.instagram.com/reel/C9Aulobt2Du/?igsh=MWRpNWU3cDA5NjdrMg== kule kenya wanaingia barabara kupinguziwa bei ya unga wa ugali 🤣🤣🤣 ukawaambia wao ni maskini wanakuja na data za jidipii pakapital. 🤣🤣 ground mambo ni tofauti.