Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikiangalia ile shoddy job mmturuki amefanya kwenye embankments na Nikiangalia mizigo ya Dar port nabaki nikicheka tu manake na jua within 1 year tutakuwa tume elewana. Alafu Nikiangalia izo speed za bullet train nabakia kuona ni facelift tu. Hizo 700km za Sgr ya Kenya ilitosha kuishinda ile ya mhabeshi mwenye mizigo mingi. Usiombe kabisa tufike malaba manake itakua catastrophic kwa Tanzania.
Wewe bado unahangaika na sgr, hio vita imekwisha. Pumba na mchele vishajitenga sasa hivi tujadili vitu vingine.
 
😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Screenshots_2024-07-03-19-30-01.png
 
Nyerere hafiki nusu ya mzee kenyatta. Wazungu wanajua mau mau ni nani, hatuna uzembe sisi. View attachment 3032592
We kima usituletee ujinga wako kuwatua wazungu nchi za kusini mwa Africa na kuforce watoe uhuru unalinganisha na huyu wenu ambae alitii masharti ya wazungu baada ya uhuru na ndio maana Kenya ipo ilipo leo spinless country.
 
Back
Top Bottom