dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,151
Huu ndio mchele kitumbo
Huu ndio mchele kitumbo
Tulizana mazeeh,ndio kwanza operation ya SGR imeanza.Haya sasa leta mizigo 😁😁
One week vs two weeks. Hamtumiangi akili.Tanzania SGR kwa mwanzo tu ndani ya wiki 2 wamesafiri watu 40k
View attachment 3033062
Kunyaland walisafiri 14k unaona kabisa ni mradi upi ni white elephant
View attachment 3033063
Wiki mbili abiria zaidi ya elfu 40.One week vs two weeks. Hamtumiangi akili.
Na ajue kuna malalamiko mengi ya treni kujaa kutoka kwa abiria wanapokata tiketi na kuambiwa zimeisha! Hapo route ya Dodoma haijaanza!Wiki mbili abiria zaidi ya elfu 40.
Inamaana wiki moja wamesafiri abiria 20k+.
Ninyi wiki moja 7k+.
Je hapo hesabu imekaa sawa!?
Umehesabu na safari za bure zilizolipwa na suluhu.Wiki mbili abiria zaidi ya elfu 40.
Inamaana wiki moja wamesafiri abiria 20k+.
Ninyi wiki moja 7k+.
Je hapo hesabu imekaa sawa!?
Plus free ridesOne week vs two weeks. Hamtumiangi akili.
Safari ya bure ilikua moja tu ya kwenda Morogoro.Umehesabu na safari za bure zilizolipwa na suluhu.
Free ride ilikua moja tu ya ufunguzi basi.Plus free rides
Mwanza Central Market Progress🔥🔥👇👇
View: https://youtu.be/u8tITxcAF94?si=-PWA051beCAJ9LefView attachment 3032990
Mkuu mimi wiki ilopita nilowaambia niko Morogoro nitaipanda niwarushie picha.Na ajue kuna malalamiko mengi ya treni kujaa kutoka kwa abiria wanapokata tiketi na kuambiwa zimeisha! Hapo route ya Dodoma haijaanza!
Ngoma kama hii inakuja soon, tajiri wa Jambo drinks WA shinyanga kishapeleka proposal TRC
View: https://x.com/Rainmaker1973/status/1808382718276682187?t=z4tatkoKIub4GnDVS0jUtw&s=19