Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zanzibar ni kubwa kuliko dar slum, wakati huo ina idadi ya watu 1M ilhali dar ina watu 8M. Wapi kumebanana, in short mmepigwa 😂😂😂
Kiutafutaji maisha nani atatoka Dar akatafute maisha Zanzibar!?
Hao wazanzibari wenyewe wanahama Zanzibar kwa wingi kuja Dar na mikoa mingine kuishi na kutafuta maisha.
 
Zanzibar ni kubwa kuliko dar slum, wakati huo ina idadi ya watu 1M ilhali dar ina watu 8M. Wapi kumebanana, in short mmepigwa 😂😂😂
Only stupid kama wewe unaweza kung'ang'ania kutafuta ardhi Zanzibar na kuacha vast land iliyopo Tanzania bara. 🤣 🤣 🤣 🤣 Yaani ukimbia 945,087 km² ukajibane kwenye 2,461 km²? are you stupid or something. Umeshindwa kushiba wali wa kwenye pipa utashiba wa kwenye kijiko? 🤣🤣🤣🤣

Ndio maana wakenya mnachinjana kwa kukosa akili

Kwanza Rais wa Zanzibar ni Mzaramo toka Bara. Sijui utasema nini sasa hapo.
 
Kati ya sisi na ninyi nani kapigwa!?
Reli yenu ya SGR inafika hata 700km!?
Ila tizameni bajeti mliotumia pia tizameni lokomotives mnazotumia vinalingana!?
Kubalini SGR mmepuyanga tu mazeh.
Nikiangalia ile shoddy job mmturuki amefanya kwenye embankments na Nikiangalia mizigo ya Dar port nabaki nikicheka tu manake na jua within 1 year tutakuwa tume elewana. Alafu Nikiangalia izo speed za bullet train nabakia kuona ni facelift tu. Hizo 700km za Sgr ya Kenya ilitosha kuishinda ile ya mhabeshi mwenye mizigo mingi. Usiombe kabisa tufike malaba manake itakua catastrophic kwa Tanzania.
 
Ndoto za mchana hizi.
Central corridor ina mizigo ya ndani pekee ukiachana na mizigo ya bandari.
Na kama serikali itaamua kutumia reli kusafirisha mizigo ya kutoka bandarini kwenda nchi jirani itapendeza pia.
Jengeki kwanza hiyo reli itakayofika 700km.
Ila kwa sasa hamuna jipya kabisa.
 
Mara kwa mara huenda kule.
Kule ni pa kupumzika ila sio kutafuta maisha.
Kutafuta maisha kule kuko unsuitable kabisa.
Tatizo wakenya ni wapuuzi sana hawana plans. Sisi Tanzania kila mkoa umewekwa kwaajili ya jambo fulani. Kila mkoa upo na activity yake unique. Ndio maana watanzania wanasafiri sana ndani ya nchi yao.
 
Zanzibar is only for tourism. Ukawe na ardhi huko zanzibar unataka kujenga Hotel? Wakenya kichwani nati zimevunjika.
So you are accepting that Tanganyikans are second class citizens katika muugano. That you can only visit Zanzibar but not own land there. How are you contented with such open discrimination. Mzee kenyattas words have a lot of meaning, Tanganyikans are docile creatures who were given independence freely without arms.
 
Mara kwa mara huenda kule.
Kule ni pa kupumzika ila sio kutafuta maisha.
Kutafuta maisha kule kuko unsuitable kabisa.
So a Tanganyikan cannot opt to own land to build a house in Zanzibar. The liberation of Africa is not complete until CCM is removed. A Zanzibari can own land in Tanganyika and vie for presidency but a Christian cannot be seen eating in Zanzibar during Ramadan. What a backward katiba. I know you are poor but what about others who are willing to build there, your property will be under CCM 😂😂😂
 
So you are accepting that Tanganyikans are second class citizens katika muugano. That you can only visit Zanzibar but not own land there. How are you contented with such open discrimination. Mzee kenyattas words have a lot of meaning, Tanganyikans are docile creatures who were given independence freely without arms.
Mzee Zanzibar hakuna kitu cha maana huko zaidi ya Tourism. Everything wanategemea kutoka Tanzania bara.
Kuanzia Afya, Education, Chakula I mean Everything.

Also Tanzania hatuna hizo classes eti first Class or Second Class. Hayo mambo ni ya kwenu tu.
Watu wana own vitu vya maana lakini wanaishi maeneo ya kawaida.

Change your mentality ndio utawafahamu watanzania. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Sisi huku hatuna mambo yenu ya ubaguzi. Tanzania is not Kenya.
 
So a Tanganyikan cannot opt to own land to build a house in Zanzibar. The liberation of Africa is not complete until CCM is removed. A Zanzibari can own land in Tanganyika and vie for presidency but a Christian cannot be seen eating in Zanzibar during Ramadan. What a backward katiba. I know you are poor but what about others who are willing to build there, your property will be under CCM 😂😂😂
Why you want to own land in a tiny space? Uachane na vasty land ukajifiche, kwani wewe ni kunguni? 🤣🤣🤣🤣
 
So a Tanganyikan cannot opt to own land to build a house in Zanzibar. The liberation of Africa is not complete until CCM is removed. A Zanzibari can own land in Tanganyika and vie for presidency but a Christian cannot be seen eating in Zanzibar during Ramadan. What a backward katiba
Mbona unachanganya mambo!?
Mswahili anaweza kumiliki ardhi na kujenga Zanzibar.
Kuna waswahili Zanzibar wamejenga nyumba na wamefungua biashara.
Ila ni wachache kwasababu Zanzibar ina potential ndogo kwenye masuala ya uwekezaji ama utafutaji.

Huko kuhusu kula mchana limeingiaje!?
Mbona kuna watalii hula mchana na ma restaurant makubwa yanafunguliwa vizuri tu!?
 
Why you want to own land in a tiny space? Uachane na vasty land ukajifiche, kwani wewe ni kunguni? 🤣🤣🤣🤣
Kiufupi mkuu kumiliki ardhi Zanzibar Mswahili anaruhusiwa ila asilimia KUBWA hawapendelei kutafuta maisha Zanzibar.
We kaa pita mtaani katika mishe uone mtu anafikiria kwenda kutafuta maisha wapi halafu usikie kama ataitaja Zanzibar.
 
Mbona unachanganya mambo!?
Mswahili anaweza kumiliki ardhi na kujenga Zanzibar.
Kuna waswahili Zanzibar wamejenga nyumba na wamefungua biashara.
Ila ni wachache kwasababu Zanzibar ina potential ndogo kwenye masuala ya uwekezaji ama utafutaji.

Huko kuhusu kula mchana limeingiaje!?
Mbona kuna watalii hula mchana na ma restaurant makubwa yanafunguliwa vizuri tu!?
Anataka kulazimisha vitu ambavyo havipo. Mama Ngina amewaaminisha 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kiufupi mkuu kumiliki ardhi Zanzibar Mswahili anaruhusiwa ila asilimia KUBWA hawapendelei kutafuta maisha Zanzibar.
We kaa pita mtaani katika mishe uone mtu anafikiria kwenda kutafuta maisha wapi halafu usikie kama ataitaja Zanzibar.
Watu wanaenda Zanzibar kula bata tu. Au mtu anaweza kwenda Zanzibar kufanya biashara za Kitalii.
 
Mzee Zanzibar hakuna kitu cha maana huko zaidi ya Tourism. Everything wanategemea kutoka Tanzania bara.
Kuanzia Afya, Education, Chakula I mean Everything.

Also Tanzania hatuna hizo classes eti first Class or Second Class. Hayo mambo ni ya kwenu tu.
Watu wana own vitu vya maana lakini wanaishi maeneo ya kawaida.

Change your mentality ndio utawafahamu watanzania. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Sisi huku hatuna mambo yenu ya ubaguzi. Tanzania is not Kenya.
Hakuna mtu asiyejua kwamba hakuna kitu cha maana Zanzibar kando na Tourism 😂😂😂
I mean angalia tu picha zake vile zimejazwa na unplanned settlements, ndio maana huwa tunaipuuza.
lakini sote tunajua ardhi yeyote ile ni bidhaa muhimu katika binadamu, kwa hivyo usijaribu ku downplay umiliki wake.
Wewe kwanza receipts zako ninazo ukilia kwamba wazenji wanaidhulumu Tanzania.
The liberation of Africa is not complete until CCM is removed
 
So a Tanganyikan cannot opt to own land to build a house in Zanzibar. The liberation of Africa is not complete until CCM is removed. A Zanzibari can own land in Tanganyika and vie for presidency but a Christian cannot be seen eating in Zanzibar during Ramadan. What a backward katiba. I know you are poor but what about others who are willing to build there, your property will be under CCM 😂😂😂
Hakuna MTU ana own land Tanzania, ardhi yote iko chini ya serekali, wanachofanya ni kukupa ardhi lakini sio kumiliki kwasababu siku wakitaka ardhi unalipwa fidia unakaa pembeni, tofaut na kwenu, kwamba ardhi inamilikiwa na MTU siku mradi ukitaka kupita ww unataja pesa yoyote uitakayo 😅😅😅😅

Na hio ndio sababu miradi yenu yote inakula pesa nyingi Sana kuliko uhalisia
 
Back
Top Bottom