Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakwambia hivi Kenya mlichopitia kidogo.
We unajua Cuba alikaliwa kooni na nani!?
Cuba toka anausaka uhuru lile Sekeseke hadi leo linamtafuna.
Usifananishe Kenya na Cuba mister.
S.A walikua wanadai sehemu ya uhuru,maana kama mtawala alikua Uingereza ambaye aliachia kijiti kwa Boers.
Boers walijiona wana haki ya kuendesha S.A.
Na S.A walitaka wajiendeshe wenyewe.
Bro achana nae, ni ujuha kumleta Jomo Kenyatta kwenye viongozi waliokua tayari kwa lolote.

Toka Kenyatta achukue Kenya kuna msaada gani alisaidia nchi nyingine zilizokua na madhira kama yake, zaidi ya kujipeleka upande wa wazungu na kufanya usaliti kwa viongozi wengine?
 
Ndio Mtanganyika anaruhusiwa kumiliki ardhi Zanzibar na wapo wanaomiliki.
Shangazi yangu amejenga na anaishi Bububu maskani na yeye ni MNYAMWEZI.
Mtanganyika yeyote anaweza kujenga Zanzibar unachotakiwa ni kuwa na kitambulisho cha mkaazi wa Zanzibar, nafikiri ukikaa baada ya miaka mitatu, unatambulika kama mkaazi.
 
Unaota? 😆😆😆😆.Debt to GDP ratio Iko chini ya 40%,Lowest in Sadsc na EAC.

Debt yetu ni Trilioni 92 tuu Hadi juzi wanaposoma Bajeti.

Kundustan sana Debt to GDP ratio ni 75% 🤣🤣🤣 na hamna pesa ya kulipa 😆😆
Inamaana Kila mwaka Samia alikuwa anakopa trillion 12 Sasa hizo pesa kaipeleka wapi?
 

Wanaumia sana hawa nyangau hawapendi kuona kitu kizuri Tanzania
 
Mwanza Central Market Progress🔥🔥👇👇

View: https://youtu.be/u8tITxcAF94?si=-PWA051beCAJ9Lef
mwanza_cc_1718175377310314.jpg
 
Southern Africa (SADC).

Nakumbuka hata Malawi walikua CECAFA ila waliona hawakui kisoka wakabadili kwenda COSAFA now wapo vizuri. CECAFA siku hizi miyeyusho sio kama enzi za kina Maximo, Ngasa
Sie pia tuko SADC,sio malawi tu hata zambia na zimbabwe zilikuwepo cecafa,kilichotubakisha sisi cecafa ni siasa tu,tena kipindi cha malinzi ilibaki kidogo tu tuhamie cecafa na znz iwe member wa fifa,jamaa wakamuwahi malinzi kwa kumpa kesi,huyu msomali wa sasa hivi ndio hataki hata kukubali mialiko ya huko cosafa
 
Mtanganyika yeyote anaweza kujenga Zanzibar unachotakiwa ni kuwa na kitambulisho cha mkaazi wa Zanzibar, nafikiri ukikaa baada ya miaka mitatu, unatambulika kama mkaazi.
Sio miaka mitatu kasome katiba yako vizuri, ingelikua hivo watu wasingelalamika.
 
Back
Top Bottom