Hata mimi hunipendi dear?Ila mimi humpenda RRONDO kwa kuwa yeye huwa mkweli tofauti na hawa bongolala wengine.
Hata mimi hunipendi dear?Ila mimi humpenda RRONDO kwa kuwa yeye huwa mkweli tofauti na hawa bongolala wengine.
Mkuu pantoni tatu zinakufa zote kweli? Inaanza ya kwanza,inafuata ya pili,inafuata ya tatu!
Subiri muanze kuswekwaKenya has the top democracy in the region… no other country in this realm can journalists grill the President that way without fear of retribution… name one country?…
Unajua miji inayoitwa quiloa na Rapha nenda kajifunze kwanza ndio uje na mavi ya Lamu hapa.hakuna mji mkongwe zaidi ya lamu katika zile Swahili city states. Tafadhali rudi kwenye uzi wa picha za warembo worldwide 😀
Kilwa ilikuwa na sarafu yake. It was a great trading centre in the East African coast.Kaka katizame tena Kilwa ni mji mkongwe kuliko miji yote ya ukanda wa Pwani ya Afrika Mashariki.
Wana helaaa?Hata kundurenda wakimaliza kuandamana watakuja tuwa uzie mahindi
If our Government does what we want why should we demonstrate? Usitake tufanane.Haya mambo vumbi nation itakuja kufanya 100 years from now. Saivi hawana makend.e
View attachment 3029822
Wapi fake GDP wapi fake budget 😂😂😂😂
Dunia plz simama nishuke
View: https://x.com/TheStarKenya/status/1807478586468622465?t=tLKVmpt1zTKmI-0AFbtEKw&s=19
View attachment 3030033
Raptah city ilikuwa kongwe kuliko hata Kilwa... Baada ya kuanguka na kumezwa na Bahari ndio ikaibuka Kilwa... Tanzania ndio source of civilisation ukanda huu wa Afrika... Na hilo liko wazi... Hata sasa tunaona!Unajua miji inayoitwa quiloa na Rapha nenda kajifunze kwanza ndio uje na mavi ya Lamu hapa.
Anaongoza nyumbu hupenda kusikia vitu kama hivi. Potatoes imported from Europe 🤣🤣🤣🤣Potatoes ziko Njombe wacha ujinga! Ati importing from Europe!
Hawa nyang’au sijui wanasomea wapi somo la historia?🙂Raptah city ilikuwa kongwe kuliko hata Kilwa... Baada ya kuanguka na kumezwa na Bahari ndio ikaibuka Kilwa... Tanzania ndio source of civilisation ukanda huu wa Afrika... Na hilo liko wazi... Hata sasa tunaona!
Hawa nyang’au sijui wanasomea wapi somo la historia?🙂
Nishakwambia Mombasa haina competition vumbi stan kando na dar slum. Vitu Unanionyesha utavipata kilifi bila kuhangaika na barabara za tope kama Zanzibar. Inaonekana umesahau ile battle ya hoteli, kilifi town ni kubwa na modern kuliko Zanzibar uswazi town na nitakuonyeshaZanzibar imeendelea kuwa yamoto haswaaa 👇View attachment 3030077View attachment 3030079View attachment 3030081View attachment 3030083.. Reborn Ktb wapi Mombasa.? 🤣🤣 hii ni moja kati ya visiwa kumi vilivyopigwa hotels vyote, tarajia kuona uzinduzi wake kila leo humu ndani, stay tuned.
Wana helaaa?
You sound so ignorant…Then your standard of what a government should do is very very low.. because you are still an LDC and a bottom country despite all your natural resources .. kweli nyinyi ni kondoo …🤣🤣🤣If our Government does what we want why should we demonstrate? Usitake tufanane.
Sijaelewa yani watu tu demo hata hakuna sababu eti kisa Kenya wame demo.You sound so ignorant…Then your standard of what a government should do is very very low.. because you are still an LDC and a bottom country despite all your natural resources .. kweli nyinyi ni kondoo …🤣🤣🤣
I eat five meals a day you don't. Tanzanian kids go to school for free up to form six and all university students get government funding, universal health insurance accommodated in this year budget, youth are given 50 acres agricultural land with Irrigational facilities with free seeds and house, youth are also given startup capital by the councils to start up business.You sound so ignorant…Then your standard of what a government should do is very very low.. because you are still an LDC and a bottom country despite all your natural resources .. kweli nyinyi ni kondoo …🤣🤣🤣
Mbona umekimbia nchi yako na hata uraia umebadilisha; huoni aibu?😎😁You sound so ignorant…Then your standard of what a government should do is very very low.. because you are still an LDC and a bottom country despite all your natural resources .. kweli nyinyi ni kondoo …🤣🤣🤣