Endelea kubisha.Endelea kuota.
Endelea kubisha.Endelea kuota.
Wakat mm nimetoka Mombasa juzi panton zote Tatu likoni zinapishana 😂😂😂😂Mkuu pantoni tatu zinakufa zote kweli? Inaanza ya kwanza,inafuata ya pili,inafuata ya tatu!
Tunasifu vizuri na vinavyoonekana .Wakat mm nimetoka Mombasa juzi panton zote Tatu likoni zinapishana 😂😂😂😂
Eti ChoiceVariable tuendelee kusifia?
Wapo wengi Tu hawana utajiri wa hvo unavofkiria wewe tena wengine mpaka wameanguka wamekua Apache alooo😂😂Nitajie mwanasiasa gani sio tajiri Bongo.
Haya nachomoa ujambe kwa Raha zako😂😂Sasa Mbongolala ametengeneza video ameweka sauti ya mzungu na AI kuilinganisha na ya Kenya alafu ndio mnatupigia kelele. Inaonyesha jinsi mlivyo na inferiority complex dhidi yetu.😂😂
Kwahiyo unataka kutuambia wakenya ni Nguruwe waliotembea? 🤣 🤣 🤣 🤣Maajabu ya nguruwe wa kufungiwa kuita waliotembea eti wafungwa.
Mama just taking care of her Zanzibari people… soon Zanzibar will own Tanganyika….. it will become Zantania .. ( I should copyright that)…..🤣🤣🤣🤣Haya ndio yale mambo RRONDO amesema, state capture by arabs. Naskia mpaka reli watapewa. Mama anaupiga mwingi sana.
Tunasifu vizuri na vinavyoonekana .
Lami Vijijini,Iringa 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C81-dvutmvd/?igsh=aHRhZm1qMDBpMzB0
Mwambie kamfano mbunge Mtera Bwana Livingstone Lusinde na wengine wengi tu.Wapo wengi Tu hawana utajiri wa hvo unavofkiria wewe tena wengine mpaka wameanguka wamekua Apache alooo😂😂
Can you show as that Tanzania Electric SGR is only for people from Zanzibar? 🤣🤣🤣🤣Mama just taking care of her Zanzibari people… soon Zanzibar will own Tanganyika….. it will become Zantania ..🤣🤣🤣🤣
Ile wizara ni ngumu vibali vya uingizwaji sukari ni kaa la moto siku zote!Huyu nae sakata la sukari limembutua 😂😂
According to vumbi stan backward katiba, Mtanganyika needs to live 15yrs in Zanzibar in order to own land or vie for electoral seat etc. Meanwhile a Zanzibari can become president and buy land in Tanganyika without problemsMama just taking care of her Zanzibari people… soon Zanzibar will own Tanganyika….. it will become Zantania .. ( I should copyright that)…..🤣🤣🤣🤣
Bado tunazo receipts 👇Can you show as that Tanzania Electric SGR is only for people from Zanzibar? 🤣🤣🤣🤣
Mwalimu Nyerere Hydro Power, Ikulu mpya ya Dodoma mambo ni mengi tu.
Tanzania tunaishi kwa umoja kama taifa moja. Awe amtoka Zanzibar au Ujiji Kigoma anatimiza matakwa ya watanzania wote kwa pamoja 🤣🤣🤣 Tafuta wimbo mwingine.
hamna lolote malofa nyie waoga kama fisi, Ruto bado anapeta na atawafunga minyororo next tenureKenyans are naturally courageous. We do not need an external force to protest against the government.
100 yrs from now wajukuu wako ndio watapigania ukombozi kutoka CCM, ninyi hamna makend.e kazi kubwa ni kubishana kuhusu koma sava. Kwa sasa wacha CCM iwatie madole tu hamna namna.hamna lolote malofa nyie waoga kama fisi, Ruto bado anapeta na atawafunga minyororo next tenure
Mutatujuza yatayojiri baadae🤐Haiti anxiously waiting for our boys in Blue in save their country..View attachment 3029273