Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hait inazumgukwa na nchi nyingi tu za Latin America Wewe unatoka far far away kwenda Haiti?

Unajua issue kubwa hawa wakenya hawajui wanaingizwa kwenye mkenge. Lengo la USA ni Kupambana na Cuba. Kwakuwa Haiti ipo karibu na Cuba, USA hawawezi kuingia direct Cuba kutokana na Russia. Sasa wanataka kutumia Haiti kama sehemu yao ya kuweka military base.

Wakenya wajinga mno.
lets wait n see! mimi hata haya maandamano yanayoendelea naona kuna mkono kutoka nchi za nje! Inaelekea Ruto anaweza kupinduliwa hata kabla ya mission ya Haiti haijafanikiwa!
 
Barbecue ameomba dialogue baada ya Kenya kuingia Haiti.
IMG_20240629_210954.jpg
IMG_20240629_210957.jpg
IMG_20240629_211000.jpg
IMG_20240629_211007.jpg
 
Nikiangalia pantoni za Mombasa halafu leo hii Kigamboni watu wanavuka na mitumbwi nasikitika sana. Kwenye pantoni Mombasa iko juu.
Mombasa kuna shipyards 3, ferry zinapigwa maintenance thoroughly. Hio MV kigamboni italetwa huku
 
Back
Top Bottom