Gen Z hebu endeleeni na maandamano yenyu na kuchoma matairi wiki ijayo😎😁
View: https://m.youtube.com/watch?v=fvDsMae9ZYQ
Haiti anxiously waiting for our boys in Blue in save their country..View attachment 3029273
Huwa usichukue kila kitu wakenya husema huko twitter.com ukileta humu. Zingine bezo, mengine propaganda. Sasa ona sasa unaibika bure. Hiyo ni video ya Kirinyaga. Didmus kwake Bungoma. Na kumetulia tuli.
View attachment 3029392
viongozi muliwachagua wenyewe, wajinga nyinyi KAZI yenu kuburuzwa na wanasiasa miaka kwenda miaka kurudi, nitajie mwanasiasa gani sio tajiri Kenya 😂😂😂😂😂Hivi ni kipi kinakufurahisha hapa wewe Myemeni maana unashare information Wakenya wanapenda kwa sahii.
Ila mimi nimekubali hili zao la kokoa.Kuna zaidi ya kahawa.Oil seeds 👇👇View attachment 3021906
Kwangu Mimi hayo mazao yote hapo Juu tuweke pesa yatupe pesa
Wamefata masharti ya bwana wao USA😂😂What is the valuable tangible kwa wakenya kwenda kuvamia Haiti?. Haiti ni ndogo sana 27,750 km² Mkoa wa Arusha upo na ukubwa wa 37,576 km².
Wakenya wa ajabu sana. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
View attachment 3029583
Hait inazumgukwa na nchi nyingi tu za Latin America Wewe unatoka far far away kwenda Haiti?Wamefata masharti ya bwana wao USA😂😂