Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ujumbe kwa mseng.e ichoboy01 na dadake babayao255 wanaosherekea Chris brown akikata mauno. Wanatuletea habari za kishoga kwenye jukwaa la mambo muhimu, nimewadharau kishenzi 👇

View: https://twitter.com/HilmiHilal88/status/1803859844006297704?t=A_D5kza9vWa6O1jQgXYWiw&s=19

Na huu ndio ujinga mlionao 😂😂😂👇👇
Screenshots_2024-06-20-22-10-20.png
Screenshots_2024-06-20-22-11-15.png
 
Open access ya reli sio sawa na kubinafsisha shirika ile ya wahindi ilikuwa ni kubinafsisha shirika ila hii ya open access TRC ana trains zake na wewe ukiwa na uwezo unaweka train zako ili kuleta ufanisi na ushindani mzuri na pia kuvutia wateja wengi maana operators watakuwa wakishindana kuvutia wateja.
Shughuli zote za umiliki wa reli maintenance signalling etc zitakuwa chini ya TRC na operators watakuwa wakilipa fees kutumia reli kama wanavyolipa kutumia barabara.
Mfumo huu uko kwa mataifa mengi yaliyoendelea na hufanya kazi vizuri sana.
Hata BRT ilipaswa kuwa hivi.
 
Nimeskia kuna agencies dar slum zinaleta wadada wakibongo Mombasa Kama housemaids, niunganishe na moja nataka mfanyikazi. Niko serious...
Agencies za wadada wa kazi za ndani zipo everywhere in the world, sio kitu kigeni mzee 😂😂😂😂 mdada wa ndani nyumbani kwa babaangu ni mtu wa Mombasa, wakati nakua alikua ananipa nipa mambo ya wakubwa. 😂😂
 
Acha kutetea upumbavu. Unajua huo mkoa wa katavi, mpanda ulianzishwa lini? Na je una uhakika hakuna Barabara nyingine inayounganisha hiyo mikoa kwa lami?



Hapa ni Nairobi CBD kabisa karibu na railway station na ukipanda kidogo uptownunafika ofisi za nchi nzima ya kenya.

Lakini Tazama bus stage ya magari yaendayo kibera na mitaa mingine mingi ya Nairobi.
Mko hapa mnasema Tanzania iko 30 years back ( miji yote Tanzania ina modern bus stages) nyinyi hata mji wenu mkuu hauna bas park hata moja na zilizopo zinafanana hivi?
Mimi nadhani nyinyi ndo mko 30yrs back ya Tanzania iliposasa hivView attachment 3021318
Abishe na hii sasa, KICC ileee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Haka kajibwa kanajaribu kujipendekeza kwa kujiliwaza..., hauna ya kuongezea Dar wala kupunguzia Mombasa, ziko zilivyo, all is laid bare for all to see, maumivu yamekuzidi naona hehehe.,, hauna jipya utaweka humu, Google earth imetosha, hauna sehemu ya kuficha wala kueneza propaganda kwa ku post vipicha kwa angle kijanja janja ukificha uhalisia., kwenda kabisa!!.., tafuta kazi ya kufanya mbuzi man..,
Nimekwambia mimi sipo hapa kwa ajili ya empty talks. Post hizo best residential estates. Nikuonyeshe vile dodoma is far better compared mombasa mji wa wavivu na wapumbavu. 🤣🤣🤣
 
Very weak economic base!.., buyers wakisusia tu mazao ya shamba uchumi kwisha hehehe.., bwana diversify.., uchumi wa kifukara huu., leverage na technology, retail, financial and manufacturing.., hii ni mbovu sana, very delicate kama mayai!!
View attachment 3021976
Ushawahi kuona watu wanasusa kula?? Au unaongea kujifurahisha tu!?
 
Jamaa wako na inferiority complex mbaya Sana, imagine wabunge wao wanalalamika kwa sababu KQ imeandika Kilimanjaro kwa ndege, so hapo wameibiwa mlima. Ni rahisi sana kupata attention yao 😂😂😂
Kwann wasimame na kwann muandike Kilimanjaro wakat haiwahusu unataka na Sisi tunadike nini?? Au sio nyinyi muliotangaza uongo kua Kilimanjaro iko kwenu?? Na Olduvai gorge 😂😂😂😂😂😂
 
Nilijua kwa uendazimu wako, with clueless mind lazima ujibu.., brain iko na kichaa.., unaumwa Tanzania hakuna jiji kama Mombasa kando ya Dar.., residential Mombasa beats Dar, kalilie kwa choo mimi sio mwenzako kilaza..,
According to you, "Tanzania hakuna jiji kama Mombasa kando ya Dar" je, mombasa inaweza ku battle na Zanzibar?
 
We don't use the brain, which is a flesh inside your head that controls the sensory nerves; where u feel, touch, smell, see and hearing. We engage our minds instead kilaza.., mind is not brain..., tafuta mwenzako kaka..,
So, brain ikifa mind inaweza kufanya kazi? Tafuta rika lako.
 
Back
Top Bottom