100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,791
- 30,985
Kumbe leo alhamisi?Asante kwa TBT
Kumbe leo alhamisi?Asante kwa TBT
Nakushangaa wewe.Kumbe leo alhamisi?
Hivi nyie national language ni ipi kwa maana kiswahili hamjui na english ni broken, hivi nyie ni viumbe wa aina gani?Nakushangaa wewe.
Hawa nyumbu hata Obama alikuwa mkenya 🤣🤣🤣
Ndio wanafanya sasa kuna kampuni ya Dubai itawekeza hapo.Hata BRT ilipaswa kuwa hivi.
Wewe mwenyewe Kiswahili hukijui, nyie ndio nini!? Tunasema "Nyinyi"Hivi nyie national language ni ipi kwa maana kiswahili hamjui na english ni broken, hivi nyie ni viumbe wa aina gani?
Ninyi sio nyinyi.Wewe mwenyewe Kiswahili hukijui, nyie ndio nini!? Tunasema "Nyinyi"
Wewe unajua kiswahili we mbwa.?Wewe mwenyewe Kiswahili hukijui, nyie ndio nini!? Tunasema "Nyinyi"
Sio Nyie tena 😂😂😂Ninyi sio nyinyi.
Mtanganyika mseng.e unajua nini kuhusu kiswahili?Wewe unajua kiswahili we mbwa.?
Una hasira za nini wew mpumbavu, unajua kiswahili .? 😂😂Mtanganyika mseng.e unajua nini kuhusu kiswahili?
Engagement gani na ndio Tabia yenu sugu ya kujisifia vitu vya watu 😂😂😂😂😂😂Mbona Kama hao wakenya wanawachora tu nyinyi ndo wapate engagement. 😂😂😂😂😂
Leta new picture SASA 😂😂😂Asante kwa TBT
Akili ya wivu hata fuvu la Mkwawa walishawahi kusema ni la mkenya 😂😂😂Kwann wasimame na kwann muandike Kilimanjaro wakat haiwahusu unataka na Sisi tunadike nini?? Au sio nyinyi muliotangaza uongo kua Kilimanjaro iko kwenu?? Na Olduvai gorge 😂😂😂😂😂😂