Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Mdogo wangu, kama lugha rahisi kama kiswahili inakupiga chenga hakuna haja ya kusonga mbele kwenye mambo makubwa kama security.Kwa kifupi kabisa. Sitaki utuondoe kwenye mada nzito ya kujadili security service ya Kenya how weak is.
Unaleta discussions za kitoto. Tuongelee kwanza issue ya Ruto na Msaidizi wake. Kwanini wanapambana kwenye vitu vya msingi.