Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nayeye kwanini Ruto anaiweka Family yake kwenye Public. Mke na watoto wake wote wapo kwenye public. Hii ni risk kubwa mno ukiwa mnanasiasa.
Kenya ili uwe maarafu na tajiri ni lazma uwe mwanasiasa nje ya hapo utasugua gaga mpaka zitoe cheche 😂😂😂😂😂😂😂
 
Kenya ili uwe maarafu na tajiri ni lazma uwe mwanasiasa nje ya hapo utasugua gaga mpaka zitoe cheche 😂😂😂😂😂😂😂
Modern Countries hawafanyi hivyo. Akiwa Baba ni mwanasiasa family yake inakuwa kimya. Hata baba akichafuka family inabaki safe.

Michezo hiyo alitaka kuianzisha Kikwete hapa Tanzania. Ninajua siku zake zinahesabika tu.
 
Back
Top Bottom