Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu msipuuze huyu jamaa. Raia wengi wagumu kupita kwenye vivuko wako radhi kukata fence. Hapo inaonekana watu wametafuta shortcut wanapita juu ya reli. Na kwasababu wanapita kila siku wanaondoa zile kokoto. TRC inabidi wawe serious wamalizie fence maeneo yote ya mjini na wahakikishe wananchi wanapita kwenye vivuko maalum. Kuna uzi wananchi wa gongolamboto wanalalamika vivuko viko mbali na ni sababau wamezoea tu kuvuka hovyo kila amahali ni wavivu kufuata sehemu maalum. Kama fimbo au faini watandikwe tu watakuja kuleta hasara na kupoteza maisha ya watu kwa ujinga wao.
Siyo kupuuza. Jamaa kaleta huu uzi wiki iliyopita kwenye jukwaa la Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania na akajibiwa vizuri tu. Lakini kaamua kuuanzisha tena na kusema wakenya sijui wanajitambua sijui nini. Sasa swali hapa ni kwa nini kaamua kuleta hizo picha kwa mara nyingine. Lengo ni nini haswa?
 
Top @PSG_English player and Morroco international @AchrafHakimi is in @visitngorongoro Tanzania.

1719394524529.png
 
Wanajitambua au ndio mficha maradhi mauti humuumbua 😅😅😅😅😅

Walibakia kudanganya dunia Wana maisha mazuri sijui wako level za singapore haya kiko wapi SASA 😅😅😅😅😅

Nchi ina Hali mbaya kuliko Zimbabwe 😅😅
Umekasirika. 😆 😆 😆
 
Back
Top Bottom