Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unapost reli kipindi cha ujenzi na inaonekana kabisa usehemunya ujenzi 😅😅

Rudi kwenye I'd yako plz 😂

Aaa huyo aliyeshika bendera anafanya nini, anataka kuzuia watu ili treni gani lipite.
Kama kipindi cha ujenzi kilikuwa treni gani litapita kipindi cha ujenzi.?
Kumbuka hio ni first phase dsm to moro mkuu.

Aliyeshika kipendera anafanya nini hapo juu. Nimeweka picha za juu hapo nimepiga last week.
 
Acha upumbavu wewe wakunya ni wajinga kuliko watanzania. Wangekuwa wanaakili wasingeacha watu wachache wamiliki ardhi na pia kukubali kuishi kwenye slums.
Na pia kwa ujinga wao hupiga kura za kikabila ambazo ndio huwaletea haya matatizo yote.
Hata treni ya sgr mmelipa hela nyingi kuliko uhalisia mnaibiwa left right centre huku mnaona kama sio ujinga ni nini?
Mkuu Watanzania asilimia ngapi wameelimika?? Kati ya 60million?
 
Acha upumbavu wewe wakunya ni wajinga kuliko watanzania. Wangekuwa wanaakili wasingeacha watu wachache wamiliki ardhi na pia kukubali kuishi kwenye slums.
Na pia kwa ujinga wao hupiga kura za kikabila ambazo ndio huwaletea haya matatizo yote.
Hata treni ya sgr mmelipa hela nyingi kuliko uhalisia mnaibiwa left right centre huku mnaona kama sio ujinga ni nini?
3233303875_7576f330b6_b.jpg
3233303465_a521391677_b.jpg
3233304175_f41048acb3_b.jpg

Kwa hio unaona sawa na sisi kuishi hivi??
 
Acha upumbavu wewe wakunya ni wajinga kuliko watanzania. Wangekuwa wanaakili wasingeacha watu wachache wamiliki ardhi na pia kukubali kuishi kwenye slums.
Na pia kwa ujinga wao hupiga kura za kikabila ambazo ndio huwaletea haya matatizo yote.
Hata treni ya sgr mmelipa hela nyingi kuliko uhalisia mnaibiwa left right centre huku mnaona kama sio ujinga ni nini?
now we talk ni mudomo wanajua!
 
Wewe unataka wapite sehemu Ya nn ??
Hio reli inashida gani hebu tueleze 🤣🤣🤣🤣
Wakuu msipuuze huyu jamaa. Raia wengi wagumu kupita kwenye vivuko wako radhi kukata fence. Hapo inaonekana watu wametafuta shortcut wanapita juu ya reli. Na kwasababu wanapita kila siku wanaondoa zile kokoto. TRC inabidi wawe serious wamalizie fence maeneo yote ya mjini na wahakikishe wananchi wanapita kwenye vivuko maalum. Kuna uzi wananchi wa gongolamboto wanalalamika vivuko viko mbali na ni sababau wamezoea tu kuvuka hovyo kila amahali ni wavivu kufuata sehemu maalum. Kama fimbo au faini watandikwe tu watakuja kuleta hasara na kupoteza maisha ya watu kwa ujinga wao.
 
Hzo picha ni kipindi cha construction kwa SASA hawawez kuruhusu ujinga huo
 
Wakuu msipuuze huyu jamaa. Raia wengi wagumu kupita kwenye vivuko wako radhi kukata fence. Hapo inaonekana watu wametafuta shortcut wanapita juu ya reli. Na kwasababu wanapita kila siku wanaondoa zile kokoto. TRC inabidi wawe serious wamalizie fence maeneo yote ya mjini na wahakikishe wananchi wanapita kwenye vivuko maalum. Kuna uzi wananchi wa gongolamboto wanalalamika vivuko viko mbali na ni sababau wamezoea tu kuvuka hovyo kila amahali ni wavivu kufuata sehemu maalum. Kama fimbo au faini watandikwe tu watakuja kuleta hasara na kupoteza maisha ya watu kwa ujinga wao.
kwahiyo unataka kusema masanja hataweka cctv hapo?
 
Back
Top Bottom