Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa hapo kakosea sana... Rais anamtuhumu mkuu wa Polisi hajafanya kazi... Makamu wa Rais anamtuhumu boss wa usalama wa taifa hajafanya kazi... In public!

Hata sio katika vikao vya ndani vya baraza la usalama la Taifa! Na bado hapo wanategemea hao raia waheshimu vyombo vya ulinzi! Wako very disorganised.
Sijui ni vikosi gani vinawalinda hawa... Ila wajue tu hiyo damage wamefanya na character assassination kwa hao viongozi wa ulinzi inaweza kuwa cost vibaya sana.
Hiyo sio Nchi ni genge la wavuta bangi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ndio maana inaitwa failed state
 
Jamaa hapo kakosea sana... Rais anamtuhumu mkuu wa Polisi hajafanya kazi... Makamu wa Rais anamtuhumu boss wa usalama wa taifa hajafanya kazi... In public!

Hata sio katika vikao vya ndani vya baraza la usalama la Taifa! Na bado hapo wanategemea hao raia waheshimu vyombo vya ulinzi! Wako very disorganised.
Sijui ni vikosi gani vinawalinda hawa... Ila wajue tu hiyo damage wamefanya na character assassination kwa hao viongozi wa ulinzi inaweza kuwa cost vibaya sana.
Nchi iko in disarray Gen Z wakikaza kidogo tuu wanachukua nchi.
 
Jamaa hapo kakosea sana... Rais anamtuhumu mkuu wa Polisi hajafanya kazi... Makamu wa Rais anamtuhumu boss wa usalama wa taifa hajafanya kazi... In public!

Hata sio katika vikao vya ndani vya baraza la usalama la Taifa! Na bado hapo wanategemea hao raia waheshimu vyombo vya ulinzi! Wako very disorganised.
Sijui ni vikosi gani vinawalinda hawa... Ila wajue tu hiyo damage wamefanya na character assassination kwa hao viongozi wa ulinzi inaweza kuwa cost vibaya sana.
Hawa nyangau wamekurupukia katiba ambayo hawaiwezi katiba kama hiyo inahitaji watu wawe civilized na sio makanjanja.
 
Hii nchi ni ya ajabu sana. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ Huku Rais anamlaumu Mkuu wa Police kutofanya kazi ipaswavyo. Msaidizi wa Rais anamkingia kifua mkuu wa Police na kumlaumu mkuu wa National Intelligence Security Services.

How will you be able to protect the country and manage the national interest if the top leaders are against each other

Halafu mambo wanayoyaongea yanatakiwa kuongelea ndani na siyo in public.
They show World how weak country is
Utashangaa wanakuambia wana the best constitution in Africa hivi kama katiba ndio ingekua inawawajibisha na wanaiheshimu, wangekua wanafanya upopoma wa kiwango hicho kwenye nyakati nyeti na za hatari kama hivi, bunge kabisa la nchi linageuzwa danguro kisa kuna watu hawatekeleza their constitutional duties halafu wanakuambia wana katiba bora ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mbona hiyo katiba haiwang'ati wezi walioinywa dollars billion 85 hazijulikani zilipo ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Kituko๐Ÿ˜
 
The problems is wote ni wachafu. Sasa issue pale ni nani atakayemfunga paka kengere. Maana ni familia ya paka kila mmoja anandevu.
 
Back
Top Bottom