Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa hata hela ya AFCON hawatakua nayo, budget ndio imecollapse hivyo na wasitegemee watalii wala FDI kwa miaka mitatu ijayo, hata ile mikataba ya uongo na kweli waliosaini na Biden ndio imeota mbawa hivyo, kilichotokea jana hakuna investor mwenye guts za kuja kuwekeza mabilioni maeneo ambayo wabunge wanapigwa kama vibaka hakuna usalama 😂😂😂😂
Nilishasema mda mrefu, hawa hawatoandaa Afcon, kwanza huo mwaka ndiyo utakuwa wa uchaguzi, hebu fikiria itakuwaje, wakati kwa sasa tu hali ndiyo iko hivi, FYI Ruto is there to stay, jaribu kufikiria Ruto lazima aibe kura mana wajaluo hawaruhusiwi kuongoza Kenya, lazima wauwane na hakuna Afcon Kenya, watanzania tujiandae hii michuano tutaandaa wenyewe.
 
Naona ile 'daily dose' imeshaenda na maji😎
 
Kenyans mock Tanzanian’s after their Gen Z violence😅😅
AA6F4804-C6CD-4EB2-80EF-CC0B6D93E006.jpeg
 
Back
Top Bottom