Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na pia NIS wameamua kukinukisha....

IMG-20240626-WA0040.jpg
 
Vilevile nawapa ushauri, siasa za uhasama haziwezi kuwafikisha popote.

Tulimuona Ruto alivyokuwa anamsumbua Uhuru. Na yeye kibao kimegeuka kwake. Hakuna mtu ataweza kuwasaidia tena. Mmeazisha siasa za chuki. Mpaka mtachinjana ninyi kwa ninyi kisha mtakuja Tanzania tuwasaidie kama tulivyowasaidia nchi nyingi wasiokuwa na adabu katika siasa zao.

Tuliwaona Rwanda, Burundi, Zimbabwe, Angola, SA, Uganda na nchi nyingi walikuja tukawasaidia. Sasa ni zamu ya kenya kuja kupiga magoti.
Tushatoka huko kitambo sana, mambo ya wasanii kama harmonize kutoa album ya kumsifu Suluhu tuliwacha 90s wakati wa mzee Daniel Moi.
Saivi tunaendeshwa na policies ambazo ziko kwa katiba. Maandamano ni kuhusu ushuru bila kuzingatia kabila wala chama. Ndio maana Gen Z wanasema they are tribeless, learderless na partyless. Naomba sana one day Tanzania ijiondoe kwa minyororo ya CCM na wapiganie katiba mpya
 
Ni haki yenu kukataa au kuupokea.
But unapokuja kuongelea CCM, mdogo wangu. CCM ni jitu kubwa mno. Ni Palitical Party number 12 duniani kwa ukubwa.

Many Political Parties wanakuja kujifunza.

Also CCM is an institution no one owns it. Tafauti na hapo kenya kuna groups of hooligans.

Mwisho kabisa kwa umuhimu. Ni vizuri ukajifunza na kusoma kuhusu CCM. Is a Comolex System. Usishangae kuona wale wanaoiponda CCM ukawaona baadae ni viongozi ndani ya CCM.

Nakusihi acha uvivu na kukurupuka tumia internet kujifunza.
 
Hawa hata hela ya AFCON hawatakua nayo, budget ndio imecollapse hivyo na wasitegemee watalii wala FDI kwa miaka mitatu ijayo, hata ile mikataba ya uongo na kweli waliosaini na Biden ndio imeota mbawa hivyo, kilichotokea jana hakuna investor mwenye guts za kuja kuwekeza mabilioni maeneo ambayo wabunge wanapigwa kama vibaka hakuna usalama 😂😂😂😂
Unawekezaje nchi ambayo Polisi wenye silaha wanakimbizwa na raia wenye mawe na wanakimbia kama wako marathoni?😂😂
 
Ni haki yenu kukataa au kuupokea.
But unapokuja kuongelea CCM, mdogo wangu. CCM ni jitu kubwa mno. Ni Palitical Party number 12 duniani kwa ukubwa.

Many Political Parties wanakuja kujifunza.

Also CCM is an institution no one owns it. Tafauti na hapo kenya kuna groups of hooligans.

Mwisho kabisa kwa umuhimu. Ni vizuri ukajifunza na kusoma kuhusu CCM. Is a Comolex System. Usishangae kuona wale wanaoiponda CCM ukawaona baadae ni viongozi ndani ya CCM.

Nakusihi acha uvivu na kukurupuka tumia internet kujifunza.
Umetumia maneno mengi sana kutueleza jambo moja kwamba Tanzania ni one party state.
Hilo sio jambo baya moja kwa moja lakini kuna ubaya wake ukichunguza kwa ndani.
Bila upinzani dhabiti na katiba ya kisasa, hakuna mtu anaweza kuifanyia check and balance serikali ya CCM.
Kuna madudu mengi sana ya GoT yanawapita bila kuhoji. Mwishoe ni kuendelea kwa umaskini wa kiwango cha LDC Licha ya umiliki wa rasilimali nyingi muhimu.
 
Back
Top Bottom