Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa kwa kawaida si jibizani wajinga lakini leo nitajisamehe, hio clip ya ruto akiteta kuhusu IGP ni ya wakati yuko deputy president na haihusiani na matukio ya Gen Z. Pili, kenya kuna separation of powers, kila institution inajiongoza kivyake bila kuingiliwa na executive. Kwahio Rigathi akiteta kuhusu NIS ni sawa na Trump akiteta kuhusu FBI. Kenya ndio nchi pekeake Judiciary inaweza amuru Kura zirudiwe bila uwoga jambo ambalo judiciary ya marekani ilishindwa 2003 Bush Vs Al gore. Tuna katiba moja nzuri zaidi duniani.
Mzee dunia kwa sasa ni kijiji. Huwezi kusafisha mavi.
 
Huwa kwa kawaida si jibizani na wajinga lakini leo nitajisamehe, hio clip ya ruto akiteta kuhusu IGP ni ya wakati yuko deputy president na haihusiani na matukio ya Gen Z. Pili, kenya kuna separation of powers, kila institution inajiongoza kivyake bila kuingiliwa na executive. Kwahio Rigathi akiteta kuhusu NIS ni sawa na Trump akiteta kuhusu FBI. Kenya ndio nchi pekeake Judiciary inaweza amuru Kura zirudiwe bila uwoga jambo ambalo judiciary ya marekani ilishindwa 2000 Bush Vs Al gore. Tuna katiba moja nzuri zaidi duniani.
#Rutomustgo.
 
Nyie ❌

Ninyi✔️
Hebu ondoa upumbavu wako hapa kijana. 😀 😀 😀 Kiswahili kinazungumzwa kwa ladha. Huwezi kuandika au kuzungumza lugha kama unajibu mtihani. Ndio kubobea na kutopea kwenye lugha hivyo kijana wangu.

Wewe bado unahangaika na basics mimi nimetopea kwenye lugha ya kiswahili.
 
Tunduma wanakinukisha. #RejectCCM
Screenshot_2024-06-26-13-30-25-1.png
 
Hebu ondoa upumbavu wako hapa kijana. 😀 😀 😀 Kiswahili kinazungumzwa kwa ladha. Huwezi kuandika au kuzungumza lugha kama unajibu mtihani. Ndio kubobea na kutopea kwenye lugha hivyo kijana wangu.

Wewe bado unahangaika na basics mimi nimetopea kwenye lugha ya kiswahili.
Mtanganyika wa mwanza na kiswahili wapi na wapi 😂😂
 
Husler anaulizia... Kama finance bill haita work... Mambo ya Wakunya ayaoeleke vipi?

Naona dereva chombo kimemshindaa.. Alale nayo tuu🤣🤣🤣🤣

View attachment 3026936
Hawa hata hela ya AFCON hawatakua nayo, budget ndio imecollapse hivyo na wasitegemee watalii wala FDI kwa miaka mitatu ijayo, hata ile mikataba ya uongo na kweli waliosaini na Biden ndio imeota mbawa hivyo, kilichotokea jana hakuna investor mwenye guts za kuja kuwekeza mabilioni maeneo ambayo wabunge wanapigwa kama vibaka hakuna usalama 😂😂😂😂
 
Huwa kwa kawaida si jibizani na wajinga lakini leo nitajisamehe, hio clip ya ruto akiteta kuhusu IGP ni ya wakati yuko deputy president na haihusiani na matukio ya Gen Z. Pili, kenya kuna separation of powers, kila institution inajiongoza kivyake bila kuingiliwa na executive. Kwahio Rigathi akiteta kuhusu NIS ni sawa na Trump akiteta kuhusu FBI. Kenya ndio nchi pekeake Judiciary inaweza amuru Kura zirudiwe bila uwoga jambo ambalo judiciary ya marekani ilishindwa 2000 Bush Vs Al gore. Tuna katiba moja nzuri zaidi duniani.
Wewe toa upumbavu hapa,VO wenu mvuta bangi ameongea na kusema alimshauri vibaya huyo Rais wenu kilaza.

Achana na Clip,Ruto hana uwezo wa kumtoa huyo Mkuu wa Usalama Kwa sababu ni Rais kivuli yaani mateka hana Nguvu za maamuzi.

Kenya ni Nchi ya kipumbavu sana
 
Hii ndio sababu si jadili na watu wenye elimu ya multiple choices.
 
Back
Top Bottom