Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatuendeshwi na Kundustan wewe kima.

61 out of 100 zinalipa debt 🤣🤣🤣👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C8rz04Mq7td/?igsh=YmM4d3o0a2FiZW5u

Lazima tulipe deni, tushamaliza deni la Eurobond before deadline. Kenya haina CCM yakuomba msamaha ama kushikiwa ndege.
IMG_20240626_192957.jpg
 
Of course, when Kenya coughs.......................................
Sahii Wabongolala wamefuata, sasa ni Waganda. Mdogo mdogo Afrika nzima itafuata.
Mzee utasubiri sana. The most peaceful country in East Africa is Tanzania. Nchi zenu zinanuka damu. Jana zaidi ya watu 100 wapepigwa risasi na wengine kuuawa. 🚮🚮🚮🚮
 
Lazima tulipe deni, tushamaliza deni la Eurobond before deadline. Kenya haina CCM yakuomba msamaha ama kushikiwa ndege. View attachment 3026902
New World Bank loan 😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁

Mnasogeza mbele shida Ili mje kuchinjana tena 😆😆😆

The only way Mko nayo ni kukopa kulipa,mna akili nyie?

Sasa Mimi kama Mchumi nawafundisha fanyeni kuongeza ile debt ceiling kwanza Ili mjipange upya.
 
New World Bank loan 😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁

Mnasogeza mbele shida Ili mje kuchinjana tena 😆😆😆

The only way Mko nayo ni kukopa kulipa,mna akili nyie?

Sasa Mimi kama Mchumi nawafundisha fanyeni kuongeza ile debt ceiling kwanza Ili mjipange upya.
Akili za marehemu.
 
Tulishavuka huko sisi kijana. Tunawaamini wabunge wetu. Sasa tuache kuangalia ndoa ya Davido na Chioma? Sisi tunapenda raha hatujazoea fujo. 🤣🤣🤣🤣🤣

Tanzania hatuhitaji Kuchinjana ndio Serikali isikiloze.

Tanzania Ina wabunge wabobezi ambao Wanawake lisha vyema Wananchi so tuko hapa Kutoka Bungeni, Serikali imesema Itakata OC Kwa 20%,Magari Kwa 50%, Matengenezo Kwa 50%.Itaondoa Kodi kwenye gesi
Screenshot_20240626-154207.jpg
 
Back
Top Bottom