Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jifunze kiswahili sanifu ndio uje ujadili mambo na mimi, usituharibie lugha yetu.
Wewe ndiyo wakuniambia nijifunze kiswahili sanifu? Upo na umri wa miaka mingapi kweli? Maana watoto primary scholls na wenye bachelor degree ndio wanao fuatilia sana mambo ya spellings 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Muulize Idd Amin Dadaa kilichomkuta. Security ya Tanzania is very complex. Kenya is the most weak nation in Africa.
Sio security ya Tanzania na watanzania, ni ya CCM nyinyi ni viazi hamna lenyu, inauma! hehehehe.., unajiliwaza..,
 
Wewe ndiyo wakuniambia nijifunze kiswahili sanifu? Upo na umri wa miaka mingapi kweli? Maana watoto primary scholls na wenye bachelor degree ndio wanao fuatilia sana mambo ya spellings 🤣 🤣 🤣 🤣
Tatizo la wabongo hamjui kutenganisha r na l katika matamshi na uandishi. Kiswahili kiheshimiwe na kitukuzwe
 
Mashushushu wabobezi

1719415530778.png

View: https://x.com/ikulumawasliano/status/1805998820515270760
 
Back
Top Bottom