Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo asili yake ni Kenya ni mtoto wa Mjaluo mmoja anaitwa Sarungi na mama yake ni mzungu kutoka Ulaya. Sisi wabongo tumemuweka kwenye kundi la wasaliti. 🤣 🤣 🤣 🤣
Kapingane na wabongo wenzako wewe msaliti wa ukombozi hakika wa taifa.., mlamba matako ya CCM hehehe.,
1719415823357.png

1719415840551.png

1719415852944.png

1719415865535.png

1719415883532.png

Nimeenda zangu mie.., wewe endelea kujidanganya kwa kujiliwaza. Pole sana, mtapona siku moja.
 
Huyo asili yake ni Kenya ni mtoto wa Mjaluo mmoja anaitwa Sarungi na mama yake ni mzungu kutoka Ulaya. Sisi wabongo tumemuweka kwenye kundi la wasaliti. 🤣 🤣 🤣 🤣
Wakenya hatutambui mipaka, tunatamba kila mahali.
 
Kapingane na wabongo wenzako wewe msaliti wa ukombozi hakika wa taifa.., mlamba matako ya CCM hehehe.,
View attachment 3026805
View attachment 3026807
View attachment 3026808
View attachment 3026809
View attachment 3026810

Nimeenda zangu mie.., wewe endelea kujidanganya kwa kujiliwaza. Pole sana, mtapona siku moja.
Ndio unaendelea kuthibitisha Tanzania tupo na uhuru wa kutoa maoni. Sasa wamewasaidia nini hao virtual people? Je, unaouthibitisho kuwa huyo aliyeandika hayo siyo mtu mmoja au mkenya? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Tanzania is a civilized nation we don't have emotional politics.
 
The liberation of Africa is not complete until CCM is removed
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Unaota mchana kijana. Pambaneni na mambo yenu kenya. Liberation of Kenya depend on Kenyans. Pambaneni na Kenyatta Family. Mengine mtahangaika sana. Mama Ngina Owns you.
 
Back
Top Bottom