ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Marehemu mwenye PhD alisema papai lina corona. Elimu za multiple choices.Imepenya sana hiyo. Unaumia ukiwa wapi?
Nigeria wamekubali mziki wa Gen Z
View: https://twitter.com/bigwig_austin/status/1805627441957724464?t=4lh1iRffceyuwkx8lrbZyw&s=19
Wako incompetent kwenye kila idara ni ghetto state, kiongozi wa department kama sio kabila lako utapambana na hali yako
View: https://youtu.be/Eemh_SM9Yw8?si=vOwnjfpNkpmgonbE
Alitumia akili ambayo iliwafungua macho Africa nzima chizi wewe, mulifungiwa ndani Kama mbwa, then what happened??? Mulirudisha uchumi wenu kutoka 6% to 3%😂😂😂😂Marehemu mwenye PhD alisema papai lina corona. Elimu za multiple choices.
Walijenga kipande kutoka Mwenge hadi Morocco. Hakitabomolewa,mwendokasi itaongezwa tu katikati.JICA ndio wanapiga mzigo kwenye hii BRT hapo?
Hiyo issue ni outdated tulishahama miaka zaidi ya 3 sasa. Bado unaishi kwenye past? 🤣 🤣 🤣 🤣Marehemu mwenye PhD alisema papai lina corona. Elimu za multiple choices.
Mazezeta wale,wanachoweza ni kuvuta bangi tuu ya Rift valley na kakamega 😁😁Hebu watuambie wabunge wa kenya na education zao tucheke 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Tushatoka huko, our politics now is about policies. Hakuna mambo ya kutunga nyimbo za kuwasifu wanasiasa.
😆😆😆😆👇👇👇Degree kama za marehemu!
Inamaana hakuna hata msaada tutani 🤣🤣Husler anaulizia... Kama finance bill haita work... Mambo ya Wakunya ayaoeleke vipi?
Naona dereva chombo kimemshindaa.. Alale nayo tuu🤣🤣🤣🤣
View attachment 3026936