Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,912
- 103,771
wanaziitaga F16 ati!Hizi Taka taka umezitoa wapi F-5 🤣🤣🤣🤣 Fighter jet za 1959
View attachment 3025174
Kima hivi mkipima uzuri wa mji mnaangalia quality of infrastructure ama bora tu mijengo imerundikana in the name of ''concrete jungle''Mwanza and Arusha ziko na concrete jungle than this 🤣🤣🤣
Naona ki fort hapa,,nyumba ilikwama kukamilika ,,hakuna pesa huku🤣Upanga East View attachment 3024975
According to them, Kariakoo imeendelea kuliko Frankfurt kisa concrete jungle. 🤣 🤣 🤣Kima hivi mkipima uzuri wa mji mnaangalia quality of infrastructure ama bora tu mijengo imerundikana in the name of ''concrete jungle''
Hebu ww nisaide million ngap??😅😅😅😅Jibu swali. Unajua umebeba milioni ngapi hela za madafu hapo?
Unajua hawa waswazi neno Concrete Jungle walijua humu juzi ni kama linawafurahisha sana lazima walitumie. Yani mtu badala ya kuangalia ubora wa mji anaangalia majengo yalivyorundikana.🤣 🤣According to them, Kariakoo imeendelea kuliko Frankfurt kisa concrete jungle. 🤣 🤣 🤣
![]()
![]()
Do you have any proof inamilikiwa na foreigner kutoka Dubai?Buxton apparments ina block ngap??😅😅😅
Mm nimefikia hapo haya nidanganye alaf still inamilikiwa na foreigner kutoka DUBAI Huko 😅😅😅😅😅
Umeparara kama nduku lako ama? Na ulikuja kufanya nini kwenye mji ulioparara na unaounuka? Ama ulikuja kujulia hali ombaomba wenu?Hebu ww nisaide million ngap??😅😅😅😅
Mji umeparara unanuka watu wamechoka njaa kila Kona
Hebu vitaje kijinga wa TandaleJumlisha na Nairobi alaf uje hapa 🤣🤣🤣
Hii ni znz Tu 👇👇👇👇🤣🤣🤣
Ina vitu vya kisasa ambavyo Mombasa hakuna na hutopata mpaka kiyama
View attachment 3025440View attachment 3025441View attachment 3025442
Modern stadium and approved CAF stadiumHebu vitaje kijinga wa Tandale
Alafu kitu kingine, do all lodges have loud music? Huyo jamaa alikosa tu pa kulala akaona ajishugulikie mwenyeweLodges gani? Hata shopping centers za maana along that unpaved road hakuna. Ama unadhani hatufwatili safari zake.
Mwanza na Arusha umeenda mbali Sana apambane na znz Kwanza 😅😅😅😅😅Mwanza and Arusha ziko na concrete jungle than this 🤣🤣🤣
Moi International airport Ukunya standards!Jumlisha na Nairobi alaf uje hapa 🤣🤣🤣
Hii ni znz Tu 👇👇👇👇🤣🤣🤣
Ina vitu vya kisasa ambavyo Mombasa hakuna na hutopata mpaka kiyama
View attachment 3025440View attachment 3025441View attachment 3025442
Na hata ikimilikiwa na mDubai kuna shida gani? Wao humu kila siku wanashare sijui Avic za Mchina, wanashare Fumba Town za Mwarabu, na zingine nyingi alafu wakuletee shida juu ya hii? Kumbuka invest anainvest mahali kuliko na potential - ndio maana hata serikali yao inataka kujenga jengo la 22 floors Nairobi.Do you have any proof inamilikiwa na foreigner kutoka Dubai?
Mimi Niko na proof it's owned by GulfCap Real Estate, a company owned by Suleiman Shahbal, a Mombasa politician and currently serving as EALA member of Parliament
LDC ProMAx! hehehheMbona Kenya hakulala vichakani? Sasa kama kulala kwa kichaka kuna nafuu kuliko Guest House zilizoko si hata wewe utalala kichakani? Bongo maeneo mengi yako underdeveloped. Kubali hilo.
Mishamba promax.., proves the 2023 poverty index report., Tz ni hovyoooooo!!!Yani utudanganye hata kitu tunachoona wazi. Bradhee, hawa wachafu hapa tuseme ni Warundi? Wamemsurround wanamuangalia akila alafu unasema hawana shughuli naye? Hata Wakenya hatukumshobokea hivi. 🤣 🤣 🤣
View attachment 3025079View attachment 3025080
Wanashindanga humu wakisema Kenya kuna dongo nyekundu. Yani tangu Mzungu aingie hii nchi kila mahali ni udongo mwekundu. In Kenya, mzungu hakupitia kwa barabara isiyo na lami hata dakika moja licha ya kuwa alipitia sehemu zilizo maskini zaidi nchini. 🤣 🤣Mishamba promax.., proves the 2023 poverty index report., Tz ni hovyoooooo!!!
Evidence is stronger than domo domo..., ufukara jijini na vijijini proMax!! heheheSo, Tanzania ni chafu kuliko Kenya?