Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanashindanga humu wakisema Kenya kuna dongo nyekundu. Yani tangu Mzungu aingie hii nchi kila mahali ni udongo mwekundu. In Kenya, mzungu hakupitia kwa barabara isiyo na lami hata dakika moja licha ya kuwa alipitia sehemu zilizo maskini zaidi nchini. 🤣 🤣
As if kukosa umeme in Tanzania is not enough, this guy rode on dusty, untarmacked roads as well, something he never experienced while in Kenya
 
Do you have any proof inamilikiwa na foreigner kutoka Dubai?

Mimi Niko na proof it's owned by GulfCap Real Estate, a company owned by Suleiman Shahbal, a Mombasa politician and currently serving as EALA member of Parliament
Sio ya Suleiman shahbal pekee yake nae ana share pale lakini owner kabisa ni hao gulfcap owner ni tajiri kutoka Dubai mm nimepewa details na MTU wa pale kabisa😅😅
 
You call that cowshed a morden stadium?
Alafu Ile airport with a terminal size ya choo pia unaita morden?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Umekosea cha kuongea SASA baada ya kibano
 
The audacity. Nifuate Kinyangarika kama wewe inbox kwani nimekosa kazi?
Acha hizo wewe you are throwing away a chance of your lifetime. Try me and see for yourself. Love knows no bounds.
Wenzako wanatafuta nafasi ya kuishi Tz wewe unaleta kiburi 😁
 
Back
Top Bottom