Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

He's still nobody in hierarchically structure, in protocolary to despise the next subordinate figure after the president is negligence to the presidency ila nchi yenu ni ghetto state so nobody cares ila ingekuwa Tanzania ni critical crisis
Thank God umesema in Tanzania igekuwa crisis. Kenya hatuabudu president like you do down there. Huku kwetu, the president is not above the law. He can't do as he wishes just because he's the President. Usidhani huyo askofu alifanya kitu hajui. This is Kenya, not Tanganyika
 
Mkenya anazaliwa hana hata pa kushika Kenyatta family, wamejimilikisha Kila kitu ukiona kiongozi mkuu wa nchi anawatafitia watu wake umanamba ugaibuni, wewe faham kuwa nyumbani hakukaliki hata kidogo ujue Kila kona kuna watu walisha kamatia mda mrefu no future in kenya for young people
Mtanzania si mko desperate yani 🤣🤣🤣🤣
Will this desperation ever end?
 
Kama LA mwanangu, kwa sauti ya The best 007
3000491_FELg3iBXEAcKMKW_1.jpeg
.. mwaiofhawaii. Njoo hapa ujifunze Dar.
 
Huyu mzungu wao hata kwenye comments kuna baadhi ya watu wanamponda kwamba yuko entitled. Kule Rwanda kuna familia ilimsaidia kujikinga kwenye nyumba yao akaondoka na kuandika title sijui poor family etc.
Sasa kwenye hii video kote hata huko vichakani na mbugani naona electric poles kila mahali na anasema no Electricity. Anaogopa hata kulala kwenye Guest house analala vichakani.
Alishindwa kutumia route Nyingine nzr ya barabara yeye anaforce kupita huko
Halafu kakasirika kama unamjua vizuri anapenda akifika mahali watu wageuke wehu wamkimbilie, wamshangilie, wamsongesonge yaani anataka attention kitu ambacho Tanzania kakikosa kabisa 😂😂😂 toka ameingia Tanzania hakuna mtu mwenye shobo nae mpaka akasema Tanzania watu ni tofauti kabisa na nchi nyingine alizopita, kiufupi anaonekana kukwazika kisa watanzania hawamtetemekei kama wakenya na wengine 😁😁😁 of course mpaka subscribers wake wanasema watanzania ni wa tofauti sana inaonesha wamewazoea wazungu na hawana ushamba kama waafrika wengine.
 
Thank God umesema in Tanzania igekuwa crisis. Kenya hatuabudu president like you do down there. Huku kwetu, the president is not above the law. He can't do as he wishes just because he's the President. Usidhani huyo askofu alifanya kitu hajui. This is Kenya, not Tanganyika
Kenya hamna serikali wala nationhood mna collection of different vernacular speakers, sasa ukiwaondoa wakalenjin na mkewe nani anamuheshimu Ruto?
 
Back
Top Bottom