ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Huyo nyang’au ni chizi zaidi🙂😁😁😁 Sasa hizo nyaya sio za umeme? Huyo mzungu ni chizi
🤣🤣🤣 chombo hiyoo..View attachment 3024944
Kitu kinaitafuta naikundu
Chombo ya wakunya 😀🤣🤣🤣 chombo hiyoo..
Mo-town ( Mombasa ) looks better …Darsilinga bhana View attachment 3024928
Duh😎View attachment 3024944
Kitu kinaitafuta naikundu
Mbona hakuna mahali anacharge tricycle yake kama kuna umeme?Hamna umeme then boom 😁😁😁 huyu mzungu na wewe ni wehu
Usichojua Tanzania inaongoza Africa kwa rural electrification
View attachment 3024863View attachment 3024865
Mimi ni nani nishindane na vichaa.? 🤣🤣🤣Mo-town ( Mombasa ) looks better …
Ghorofa za ten floors ni za kuhesabika. 🤣 🤣 🤣East Africa's concrete jungle.. kariakoo View attachment 3024972
Almost every single building in kariakoo is more than 10 floors. Thank you 😊Ghorofa za ten floors ni za kuhesabika. 🤣 🤣 🤣
Endelea kujiliwaza.Almost every single building in kariakoo is more than 10 floors. Thank you 😊
Kunyan wanakula moshi umo ndaniDuh😎
Huyu mzungu wao hata kwenye comments kuna baadhi ya watu wanamponda kwamba yuko entitled. Kule Rwanda kuna familia ilimsaidia kujikinga kwenye nyumba yao akaondoka na kuandika title sijui poor family etc.Hamna umeme then boom 😁😁😁 huyu mzungu na wewe ni wehu
Usichojua Tanzania inaongoza Africa kwa rural electrification
View attachment 3024863View attachment 3024865