Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mambo mengine ni Aibu Kuongea Hizo Taka taka za Mombasa nani karuhusu ziwekwe humu?

This is Dar es salaam The city of Africa

1719257069918.png


1719257105678.png
 
Ujinga wako ni kutaka kuzungumzia vitu ambavyo huvijui acting like you know what's going on, you are crazy 😂😂😂 fala kweli we jamaa.. maeneo mengi kabla reli yetu ya Sgr haijaanza operation kulikua na baadhi ya maeneo (ndani ya jiji la Dar) hayakuwekwa fence ili watu waweze kupita juu ya tuta la reli na kufanya shughuli zao, while kazi za ujenzi wa vivuko ikiendelea, there are three overpass kwenye hayo maeneo kwasasa. Nikikuita wewe zuzu unalia lia.
Muulize alikotoa hizo picha mbona kaleta humu vitu nusu nusu wakati aliyepiga hizo picha na kuzi post kaelekeza kila kitu, hayo ndo madhara ya mwanaume kuwa papai. 😂😂😂
 
Guys Mimi nachoka bhana Kila siku tunaongelea jambo lile lile tu. Wakenya wanajitutumua eti Wanaunganisha Nairobi na Mombasa.

This is Dar es salaam

1719257906975.png
 
Back
Top Bottom