Hii Mbona umeiruka? 😂😂😂Yani utudanganye hata kitu tunachoona wazi. Bradhee, hawa wachafu hapa tuseme ni Warundi? Wamemsurround wanamuangalia akila alafu unasema hawana shughuli naye? Hata Wakenya hatukumshobokea hivi. 🤣 🤣 🤣
View attachment 3025079View attachment 3025080
Halafu angalia quality of buses zinazotumiwa na watanzania huko interior off-road, hata Nairobi hawana 😂😂 luxury kabisaAngalia video hiyo baby upate kufurahi
Kunyan wengi ni vichaa maana kile wanachoamini kwenye nchi yao na uhalisia ni tofautiHalafu angalia quality of buses zinazotumiwa na watanzania huko interior off-road, hata Nairobi hawana 😂😂 luxury kabisa
View attachment 3025283View attachment 3025284
Nimesema point yangu ya Watanzania kushobokea huyo mzungu na nikatoa evidence, kama una point unataka kutoa tupee evidence mwenyewe wee mzee.msikilize yeye anachoongea kwenye clips!
Ondoa hapa uchafu. Hata uweke Boeing hapo hilo eneo linabakia kuwa chafu na underdeveloped.Halafu angalia quality of buses zinazotumiwa na watanzania huko interior off-road, hata Nairobi hawana 😂😂 luxury kabisa
View attachment 3025283View attachment 3025284
Wakiokota vipicha vyao toka Google watakuambia barabara ni ya vumbi wakati barabara ni ya zege.Halafu angalia quality of buses zinazotumiwa na watanzania huko interior off-road, hata Nairobi hawana 😂😂 luxury kabisa
View attachment 3025283View attachment 3025284
Babe nakualika Tz uje ujionee uhalisia na ule bata everything on me. Nifuate inbox.Yani uache kuangalia video usome comments kujua wapi kuchafu.😀😀
Jibu swali. Unajua umebeba milioni ngapi hela za madafu hapo?Mm na ww anaetumia ni Nani?? Au mm na ww aliye change pesa ni Nani?? 😅😅😅😅
Haya nawatakia usiku mwema🤣🤣
View: https://x.com/K24Tv/status/1805309085459661091?t=8pjhDt-qfXRuNw4Io6GSjQ&s=19
The audacity. Nifuate Kinyangarika kama wewe inbox kwani nimekosa kazi?Babe nakualika Tz uje ujionee uhalisia na ule bata everything on me. Nifuate inbox.
Hiyo picha ni ya bus terminal? Mimi naona picha ya chooUnataka battle ya bus terminals?
Hii inaitwa TKO 😂😂😂😂Yani utudanganye hata kitu tunachoona wazi. Bradhee, hawa wachafu hapa tuseme ni Warundi? Wamemsurround wanamuangalia akila alafu unasema hawana shughuli naye? Hata Wakenya hatukumshobokea hivi. 🤣 🤣 🤣
View attachment 3025079View attachment 3025080
Kizungu ndio balaa. Nenda kasome meaning ya neno reserved alafu uje. 🤣 🤣 🤣