Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lodges gani? Hata shopping centers za maana along that unpaved road hakuna. Ama unadhani hatufwatili safari zake.
Tanzania haijawahi kukosa vitu kama hivyo haijalishi ni pori gani unaingia hii ni kutokana na culture ya watanzania kusafiri sana na hatujafungwa na ukabila kama Kunyaland, ni ngumu sana kumkuta mjaluo anafanya safari kwa wakikuyu haijalishi kinachompeleka huko lakini Tanzania utakuta watu wa kila kabila wakitembelea kila eneo la Tanzania no matter how remote it might be na ndio maana huwezi kosa guest house, wakundustan hamna hivi vitu sababu kila anaekuja huko mashinani kwenu ni wa huko huko, sasa guest house ya nini?

Screenshot_20240624-203521.jpg
Screenshot_20240624-203546.jpg
Screenshot_20240624-203602.jpg
Screenshot_20240624-203624.jpg
 
Tanzania haijawahi kukosa vitu kama hivyo haijalishi ni pori gani unaingia hii ni kutokana na culture ya watanzania kusafiri sana na hatujafungwa na ukabila kama Kunyaland, ni ngumu sana kumkuta mjaluo anafanya safari kwa wakikuyu haijalishi kinachompeleka huko lakini Tanzania utakuta watu wa kila kabila wakitembelea kila eneo la Tanzania no matter how remote it might be na ndio maana huwezi kosa guest house, wakundustan hamna hivi vitu sababu kila anaekuja huko mashinani kwenu ni wa huko huko, sasa guest house ya nini?

View attachment 3025042View attachment 3025043View attachment 3025044View attachment 3025045
Guest house without electricity. 🤣 🤣 🤣 Shopping center ni zile vibanda alisimama kula chips mayai. Nani alikudanganya ukabila inazuia wakenya kusafiri? 🤣 🤣
 
Tulipowaambia national stadiums zinapaswa kuwa na running tracks yaani multipurpose wakatuona wajinga ndo matokeo yake haya na walivyokuwa hawana league ya maana huu uwanja utageuka dimbwi la vyura!
You're a dunder head. First of all, Talanta Stadium is not our National stadium. Nyayo Stadium is. Secondly, Nairobi already has Kasarani (60k capacity) and Nyayo (35k capacity) with running tracks. Now we need a football dedicated stadium. Huko kwenu labda lile zizi la Azam ndio mnaweza ita football dedicated stadium. Najua mtaibeza hivi lakini ile siku mtajenga kama huo hamtonyamaza.
 
Huyu mzungu wao hata kwenye comments kuna baadhi ya watu wanamponda kwamba yuko entitled. Kule Rwanda kuna familia ilimsaidia kujikinga kwenye nyumba yao akaondoka na kuandika title sijui poor family etc.
Sasa kwenye hii video kote hata huko vichakani na mbugani naona electric poles kila mahali na anasema no Electricity. Anaogopa hata kulala kwenye Guest house analala vichakani.
Alishindwa kutumia route Nyingine nzr ya barabara yeye anaforce kupita huko
Mbona Kenya hakulala vichakani? Sasa kama kulala kwa kichaka kuna nafuu kuliko Guest House zilizoko si hata wewe utalala kichakani? Bongo maeneo mengi yako underdeveloped. Kubali hilo.
 
Halafu kakasirika kama unamjua vizuri anapenda akifika mahali watu wageuke wehu wamkimbilie, wamshangilie, wamsongesonge yaani anataka attention kitu ambacho Tanzania kakikosa kabisa 😂😂😂 toka ameingia Tanzania hakuna mtu mwenye shobo nae mpaka akasema Tanzania watu ni tofauti kabisa na nchi nyingine alizopita, kiufupi anaonekana kukwazika kisa watanzania hawamtetemekei kama wakenya na wengine 😁😁😁 of course mpaka subscribers wake wanasema watanzania ni wa tofauti sana inaonesha wamewazoea wazungu na hawana ushamba kama waafrika wengine.
Yani utudanganye hata kitu tunachoona wazi. Bradhee, hawa wachafu hapa tuseme ni Warundi? Wamemsurround wanamuangalia akila alafu unasema hawana shughuli naye? Hata Wakenya hatukumshobokea hivi. 🤣 🤣 🤣
Screenshot 2024-06-24 214003.png
Screenshot 2024-06-24 214121.png
 
Sahau kuhusu masaki na oysterbay mzee. Dar ina beaches mingi mno na huko ndiko majumba ya kifari yanapopatikana, ndio wanapoishi matajiri huko..

Masaki
Oystbey
Mbezi beach (fukweni)
Bahari beach ⛱️
Mikocheni (fukweni)
Kawe beach
Unilunio beach
Mbwemi beach
Msasani beach

Hizi zote ni maeneo kwenye majumba ya maana zaidi hapa Dasilinga. Ogopa.. kwa sauti ya nyanda kabundi.
Oyster Bay!
 
Napenda vile walikua excited huyu mzungu akiingia Bongo wakidhani atachukua video za kuchaguachagua sehemu nzuri pekee akiacha zile mbovu kama vile yule explore with Bertin anavyofanya, sahii wamerealize mzungu hana loyalty anaonyesha nchi ilivyo wameanza kumchukia. Eti sasa wanasema yuko entitled. Wao wenyewe wamemleta humu wakidhani ataonyesha Tz ikiwa bora alafu sasa wanasema ako entitled. Own goal. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Huyo Bertin mjinga sana. Alafu anajifanya mtu fair opinioned kumbe amejaa chuki. Mimi heri mtu anayejitambulisha kama hater kama Geza Ulole kuliko yule wa kujifanyafanya fair na amejaa chuki.
 
Back
Top Bottom