Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If we put more efforts kahawa can earn us $1bn same as cotton, tea, cashew nuts and maize.
Kuna zaidi ya kahawa.Oil seeds 👇👇
Screenshot_20240612-105730.jpg


Kwangu Mimi hayo mazao yote hapo Juu tuweke pesa yatupe pesa
 
Satellite images, hakuna propaganda ama porojo.., mtanyooka tu

MASAKI.., Dar., (sehemu yake)..,
View attachment 3021542
View attachment 3021544

NYALI Mombasa (just some section)..,
View attachment 3021546
View attachment 3021547

Nyali Mombasa (sehemu nyingine).., yaani nimetazama google Earth Nyali inafunika Masaki na Oysterbay kwa pamoja.,
View attachment 3021554
View attachment 3021555

Oyster Bay area, (just after Masaki)
View attachment 3021558

Mombasa pia Iko na ghorofa nyingi mno, Wala sio hoja ya leo, unatafuta pakutokea.., Google Earth inakuumbua hehehe..,
View attachment 3021593

Tanzania haiwezi, hamna kende, kwani hilo nalo ni swali?., boss uko timamu kweli?
Back in the business.. hii ni aina gani ya comparison ulifanya wewe mbumbumbu, mtu mzima mpumbavu.? 😂😂😂 kwamba upige picha za Google kulinganisha bamia na apple 🍎 are you crazy or something.?
 
Back in the business.. hii ni aina gani ya comparison ulifanya wewe mbumbumbu, mtu mzima mpumbavu.? 😂😂😂 kwamba upige picha za Google kulinganisha bamia na apple 🍎 are you crazy or something.?
Ulikufa wewe., mizoga zako zilishaoza zikaisha, unakaribia kuitwa "wahenga" wewe ni mhenga.., hii ni njia ya kukwepa reality. Boss leo tafuta kazi ya kufanya, hauna lolote la kuongeza wala kuondoa, satellite images sio picha uchwara ni reality huwezi pingana nazo, kazi iliisha. Kalilie chooni.
 
Back
Top Bottom