Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo battle huiwezi, nakupunguzia levels twende battle ya Mombasa vs Dom kwa residential dvpt. Kama una kende post hapa nikutoe nyongo
Kiboko ya mtanzania ni real time satellite images., Mr. Google Earth..., Dar vr Mombasa residential.., vipicha vya mchongo na kuchagua chagua angles pelekea wa vijiweni kilaza...,
Dar view..., just to begin before kuenda kwa estates..,
1718892222234.png

Mombasa View.., kisha mpumbavu wewe Sama boy 255 unaitaja kijiji cha Dodoma kwa Mombasa.., hehehe hii ndio Dar
1718892488178.png
 
Kiboko ya mtanzania ni real time satellite images., Mr. Google Earth..., Dar vr Mombasa residential.., vipicha vya mchongo na kuchagua chagua angles pelekea wa vijiweni kilaza...,
Dar view..., just to begin before kuenda kwa estates..,
View attachment 3021524

Mombasa View.., kisha mpumbavu wewe Sama boy 255 unaitaja kijiji cha Dodoma kwa Mombasa.., hehehe hii ndio Dar
View attachment 3021529
Watu wote wanaeza kuona kama wewe ni mpumbavu hii ni aina gani ya comparison.? 🤣🤣🤣🤣
 
Kiboko ya mtanzania ni real time satellite images., Mr. Google Earth..., Dar vr Mombasa residential.., vipicha vya mchongo na kuchagua chagua angles pelekea wa vijiweni kilaza...,
Dar view..., just to begin before kuenda kwa estates..,
View attachment 3021524

Mombasa View.., kisha mpumbavu wewe Sama boy 255 unaitaja kijiji cha Dodoma kwa Mombasa.., hehehe hii ndio Dar
View attachment 3021529
What is this?? Can you explain?
 
Umeanza kulia.., aerial view ya Dar na Mombasa.., naleta estates moja baada ya nyingine.., wewe fyata., ama nikupee link ya google earth ujionee mwenyewe? hehehehe, kinakuramba mr. Dodoma village., hehehe
Wewe umekua chizi siku hizi.? 😂😂😂
 
Mzee rusha vitu sina muda wa maneno mingi nina mambo mengi ..
Huyo nilinyonga uko nyuma, mwaka jana nadhani.., nitamuaibisha, dawa yao ni strong facts, satellite images Google earth), mtu anidanganyi na angles za propaganda, anaficha uchi.., naanika jiji lote la Dar wazi wazi na Mombasa..., wapumbavu hawa hehehe
 
Kwahiyo umekubali katika hilo Mombasa hainachake? 🤣 🤣 🤣 🤣 Hapa ulikuwa unatupotezea muda tu?
Siku nyingine uwe unachagua vita. Usiwe unakurupuka tu.
Ukionesha jengo linalokaribiana na hili hapo Mombassa niite Mbwa

View attachment 3021514
Hata Nairobi hakuna kitu kama hiki. achana naye ukimbizana na kichaa na wewe utaonekana kichaa
 
Wewe jamaa unatuoneha sketch instead of pictures. 🤣 🤣 🤣 🤣 This is Dar mzee. Tuoneshe kitu kama hiki hapo kijijini Mombasa

View attachment 3021569

View attachment 3021567
Yaani najaribu kukwepa huu uswazi lakini wapi.., ni sehemu kubwa mno! ila leo nazikwepa natfuta proper residentials.., uone Mombasa inailaza Dar wazi wazi...,
1718895726713.png

An estate in Dar...,
1718895944251.png

Kizingo Mombasa
1718896006339.png
 
Unajua unatupotezea muda wetu wa thamani. 🤣 🤣 🤣 🤣 Tafuta kazi nyingine ya kufanya hii huwezi

Upuuzi unakusumbua sana

View attachment 3021584
Unaumwa ukiwa wapi.., nitawanyoosha kwa kuweka ukweli.., dunia ya leo kudanganya ni ngumu sana, satellite images zipo.., niendelee ama umechoka?.., niko na Dar yoote na Mombasa yoote..,
 
Back
Top Bottom