Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,098
- 32,919
Nani alikuambia Kenya ni Tanzania?😁Kenya sio Tanzania...
Nani alikuambia Kenya ni Tanzania?😁Kenya sio Tanzania...
Ndoto za alinacha.., Tanzania ya CCM 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂.., utapigwa na wenzio.,Our system of governance works for us no need of protests ukisikia our government ni sikivu sio maneno tuu bali our government listen to its people and implement their wishes we also have an elaborate system consultation before any decisions arr reached. Ours is an open governance system.
Baada ya kubadilisha nn??? Ohhh Sisi Nye Nye Nye Tuna budget kubwa haya kiko wapi SASA , nchi haina hata mradi mmoja mkubwa wakimaendeleo alaf muko hapa kupigia watu kelele😂😂😂😂Baada ya kuibadilisha, ama hiyo hautaki?.., sisi hatukuitaka even though waliondoa punitive clauses, we needed to send a message, kama walikua na kende si wangeipitisha walivyokua wamependekeza bila kubadili lolote, Kenya sio Tanzania, nina furaha!! 🔥🔥😂😂😂😂😂
Dar ndio inawanyima usingizi kila siku humu ndani 😂😂😂😂😂😂Mmekosa ya kuongezea kutoka Dar, hamna zaidi, yaani pumzi kwisha!.., sasa ni kutafuta pakutokea, Kiswahili chenu ni rahisi sana., mtoto mdogo atawaelewa vizuri sana, hamna ujanja, kuwa mgeni wangu😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,
Utalia hadi basi, haibadilishi lolote ng'o!🤣🤣🤣🤣🤣😂😂Dar ndio inawanyima usingizi kila siku humu ndani 😂😂😂😂😂😂
SASA hvi mumebakia kurusha ngumi za hewani Tu, sisi Nye Nye nyeeeee
CCM inatawaliwa na watu makabila tofaut tofaut, nyinyi toka mupate Uhuru ni kabila mbili Tu ndio zimetawala out of 100 tribesNdoto za alinacha.., Tanzania ya CCM 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂.., utapigwa na wenzio.,
Munakwenda mbio na nchi imeanza kujengeka within 20 yrs period wakat Kenya toka mkoloni inajengeka haya kiko wapi SASA, tulifkiri muko level sawa na Singapore ila mambo kwa ground Burundi iko mbele yenu😂😂😂😂😂Utalia hadi basi, haibadilishi lolote ng'o!🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
Finance Bill sio budget mwenzangu , kumbe hauwelewi chochote, it's just a fiscal policy, tafuta breakfast ule🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Baada ya kubadilisha nn??? Ohhh Sisi Nye Nye Nye Tuna budget kubwa haya kiko wapi SASA , nchi haina hata mradi mmoja mkubwa wakimaendeleo alaf muko hapa kupigia watu kelele😂😂😂😂
Haya Niambie kwenye budget yenu wamebadilisha nn hakuna kilichobadilishwa na kupita imepita na watu wamekufa juu
Sisi tuna budget kubwa Sisi Nye Nye nyeee, ohhh Sisi wazungu weusi, Sisi ni USA ya Africa 😂😂😂😂😂😂 ruto kawatekenya kidogo nishaanza kuuwanaFinance Bill sio budget mwenzangu , kumbe hauwelewi chochote, it's just a fiscal policy, tafuta breakfast ule🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Munakufa kama wanyama na hakuna kitu munafanya, failed stateFinance Bill sio budget mwenzangu , kumbe hauwelewi chochote, it's just a fiscal policy, tafuta breakfast ule🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kiswahi tu, hausemi lolote!.., boss ni pale pale, hakuna chenye unabadilisha, Wacha kutumia nguvu nyingi., Tanzania ni Tanzania ilivyo., Kenya ni Kenya, wewe fikra zako ni zako tu, unasukumwa na ma feelings tu, kila kitu Kiko wazi huna uwezo wa kuondoa wala kuongezea, Wacha kujiliwaza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣Munakwenda mbio na nchi imeanza kujengeka within 20 yrs period wakat Kenya toka mkoloni inajengeka haya kiko wapi SASA, tulifkiri muko level sawa na Singapore ila mambo kwa ground Burundi iko mbele yenu😂😂😂😂😂
Kauli yako hii, hizi ndio fikra zenu kwetu., mtanyooka., numbers never lie., mpo mpo tu, haubadilishi lolote ata ulie mwaka mzima🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sisi tuna budget kubwa Sisi Nye Nye nyeee, ohhh Sisi wazungu weusi, Sisi ni USA ya Africa 😂😂😂😂😂😂 ruto kawatekenya kidogo nishaanza kuuwana
Muishi kwenye maisha yenu na uhalisia wenu acheni Ku fake maisha dunia ishabadilika SASA inawacheka 😂😂😂
Kizungu chenu feki hakiwasaidii?😎😎😎Kiswahi tu, hausemi lolote!.., boss ni pale pale, hakuna chenye unabadilisha, Wacha kutumia nguvu nyingi., Tanzania ni Tanzania ilivyo., Kenya ni Kenya, wewe fikra zako ni zako tu, unasukumwa na ma feelings tu, kila kitu Kiko wazi huna uwezo wa kuondoa wala kuongezea, Wacha kujiliwaza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣
Yaani Tanzania ni one sided decisions kwa miaka yoote kisha mnalia kwa mitandao za kijamii alafu hamna action, yaani wewe ni mpumbavu sana, unajipiga risasi kwa mguu.., linyani halijiangalii linakurupuka tu, nenda Kawaambie Watanzania wenzako hivi utapata jibu, mandazi wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Munakufa kama wanyama na hakuna kitu munafanya, failed state
View: https://x.com/ntvkenya/status/1803986290498519311?t=_FQisgrc1y6oE-8y5Mn9Aw&s=19
Lia kabisa 🤣🤣🤣Yaani Tanzania ni one sided decisions kwa miaka yoote kisha mnalia kwa mitandao za kijamii alafu hamna action, yaani wewe ni mpumbavu sana, unajipiga risasi kwa mguu.., linyani halijiangalii linakurupuka tu, nenda Kawaambie Watanzania wenzako hivi utapata jibu, mandazi wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mulikua munatutukama 90s Huko mpaka 2000+ hapo haya SASA matusi yakwap tena, na Sisi tulijua mushafika level za singapore Huko kumbe wenzetu badala kwenda mbele mulikua munarudi nyuma 😅😅😅😅😅😅Kiswahi tu, hausemi lolote!.., boss ni pale pale, hakuna chenye unabadilisha, Wacha kutumia nguvu nyingi., Tanzania ni Tanzania ilivyo., Kenya ni Kenya, wewe fikra zako ni zako tu, unasukumwa na ma feelings tu, kila kitu Kiko wazi huna uwezo wa kuondoa wala kuongezea, Wacha kujiliwaza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣