Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Kiswahili chenu nyembamba kimewafikisha mbinguni eti? bladfwakin 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂Kizungu chenu feki hakiwasaidii?😎😎😎
Kiswahili chenu nyembamba kimewafikisha mbinguni eti? bladfwakin 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂Kizungu chenu feki hakiwasaidii?😎😎😎
Walikua wanatucheka SASA Sisi ndio tunawacheka wazungu weusi, eti USA ya Africa labda iliolaaniwa 😅😅😅😅😅Daily dose 🤣🤣🤣
😅😅😅😅😅😅 Ww unaweza kupingaKiswahili chenu nyembamba kimewafikisha mbinguni eti? bladfwakin 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Hivi ni nani alikuambia kila kinachofanyika Kenya ni lazima kifanyike Tanzania?😎😎Tunaijua na tutapigana, next question?.., Tanzania je?
Hii sasa inaitwa ujinga on steroids.., hakuna nchi EAC inajenga stadiums nyingi in EAC zaidi ya Kenya.., yaani unafikiria Talanta ni ya mchina, it ain't PPP, pole😂😂😂😂, kweli unaumwa., narudia haubadilishi lolote kaka., mambo ni pale pale, naona pressure itakuuwa bure🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 ,Mulikua munatutukama 90s Huko mpaka 2000+ hapo haya SASA matusi yakwap tena, na Sisi tulijua mushafika level za singapore Huko kumbe wenzetu badala kwenda mbele mulikua munarudi nyuma 😅😅😅😅😅😅
Nchi imefika pahala haina hata mradi mmoja wa maana unaofanywa na serekali na bado munapanua vipumulio Tu
Nchi imefika hatua hata stadium SASA inajengwa na kumilikiwa na wachina 😅😅😅
Wao Wanaumia Sana kuona hii Amani Tanzania, Wanaumia kuona hakuna ukabila, Wanaumia kuona kabila lolote linapata urais Tanzania 😅😅😅😅😅😅 wao ni kabila mbili Tu ndio inaongoza nchi na ndio mafisadi WA KenyaHivi ni nani alikuambia kila kinachofanyika Kenya ni lazima kifanyike Tanzania?😎😎
Tanzania haiwezi, hamna kende, kwani hilo nalo ni swali?., boss uko timamu kweli?Hivi ni nani alikuambia kila kinachofanyika Kenya ni lazima kifanyike Tanzania?😎😎
Kijana angalia sisi process yetu inapoanzia hatukurupuki tuu we have a public hearing kutoa maoni on our finance bill sio viongozi ku impose mawazo yao kwetu. As I said earlier we operate an open governance system anbayo inatos wide berth kwa consulative process.Yaani Tanzania ni one sided decisions kwa miaka yoote kisha mnalia kwa mitandao za kijamii alafu hamna action, yaani wewe ni mpumbavu sana, unajipiga risasi kwa mguu.., linyani halijiangalii linakurupuka tu, nenda Kawaambie Watanzania wenzako hivi utapata jibu, mandazi wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Stadium gan munajenga ikiwa 2024 hamuna hata approved CAF standards, juzi Harambee wameenda Malawi kutumia uwanja Huko kwa sababu nchi haina approved stadium 😅😅😅😅😅😅Hii sasa inaitwa ujinga on steroids.., hakuna nchi EAC inajenga stadiums nyingi in EAC zaidi ya Kenya.., yaani unafikiria Talanta ni ya mchina, it ain't PPP, pole😂😂😂😂, kweli unaumwa., narudia haubadilishi lolote kaka., mambo ni pale pale, naona pressure itakuuwa bure🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 ,
Hatuwaigi, pambaneni na hali zenyu.😁Tanzania haiwezi,...
Kijana angalia sisi process yetu inapoanzia hatukurupuki tuu we have a public hearing kutos maoni on our finance bill sio viongozi ku impose mawazo yao kwetu. As I said earlier we operate an open governance system anbayo inatos wide berth kwa consulative process.
View: https://x.com/EastMan333/status/1803809254215761969?t=TLm58DPKxkEJ6wm-YLYAHw&s=19
PPP maana yake ni yenu au sio 😅😅😅😅Hii sasa inaitwa ujinga on steroids.., hakuna nchi EAC inajenga stadiums nyingi in EAC zaidi ya Kenya.., yaani unafikiria Talanta ni ya mchina, it ain't PPP, pole😂😂😂😂, kweli unaumwa., narudia haubadilishi lolote kaka., mambo ni pale pale, naona pressure itakuuwa bure🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 ,
Wishing you all the best😁Tunaijua na tutapigana, next question?.., Tanzania je?
2024 dunia imejaa utandawazi 😅😅😅😅Tanzania haiwezi, hamna kende, kwani hilo nalo ni swali?., boss uko timamu kweli?
Anakwambia watapigana na watanyanduana pia 😂😂😂😂Wishing you all the best😁
Niko timamu zaidi yako.😎...., boss uko timamu kweli?
Wakati tunajenga Hilo bwawa tulikuwa hatujui kuwa Kuna taifa linaitwa KenyaKwa demand yenu ndogo ya umeme, tenasco walidhania Kenya tutaingia makubalianao kukunua huo umeme lakini tukaenda Ethiopia. Sasa mmebaki na umeme usio na kazi, wazungu wanaita miradi Kama hio White Elephant!!
-The current maximum demand was recorded in August 2023 at 1,482.80 MW