Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Kuna mtanzania yupi hapa kwa huu Uzi isipokuwa wewe hajafika Mombasa, hapa mitaani wabongo wamejaa lakini wako na adabu kidogo, kuna mmoja anaitwa Ali kazi yake ni kupika sambusa alafu usiku analala msikitini hana nyumba😃😂😂😂😂