Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani najaribu kukwepa huu uswazi lakini wapi.., ni sehemu kubwa mno! ila leo nazikwepa natfuta proper residentials.., uone Mombasa inailaza Dar wazi wazi...,
View attachment 3021577
An estate in Dar...,
View attachment 3021581

Kizingo Mombasa
View attachment 3021582
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ukipata picha uje unioneshe. Mombasa ni mtaa mmoja ndani ya Dar es salaam. Ukiweza kuonesha buildings kama hizi hapo mombasa tunaendelea. Zaidi ya hapo is a wastage of time. Nawagonga wote wawili Nairobi + Mombasa
1718896416401.png

1718896448991.png

1718896506405.png

1718896579284.png
 
Unaumwa ukiwa wapi.., nitawanyoosha kwa kuweka ukweli.., dunia ya leo kudanganya ni ngumu sana, satellite images zipo.., niendelee ama umechoka?.., niko na Dar yoote na Mombasa yoote..,
You have started writing essays again. Mlete huyo tumuone. Usilete cheap explaination.
This is Dar es salaam. HUogopi?
1718896892636.png

1718897376652.png
 
Hakuna cha tax bill hawa watu ni abject poverty and idleness ndio inawatafuna, Tanzania hutopata watu waliokosa shughuli kwa wingi huu, Kunyaland ni poverty HQ kwa Africa, they got nothing to loose sababu hata wakikaa nyumbani bado watashinda njaa bora wakaoge na maji ya serikali

View: https://youtu.be/Y1Scqw5epho?si=YpVpFG86wFUwYYqp

Limeumia, mmezubaa, ufukara unawatesa ni sauti hamna.., mmelemewa, hizi ni hisia za wivu na chuki.., kwenu such a move ni ndoto.., big up to Gen Z!🔥🔥🔥🔥🔥💪.., kafie mbali na wivu
 
Compare vitu kijana. Usikurupuke tu kuja kupiga kelele. Muda wako sasa wa kuanza kuonesha GTC. Na ukome kuifananisha Dar es salaam na takataka.

View attachment 3021606

View attachment 3021616

View attachment 3021620
Dar ndio hii hapa.., ama Kuna nyingine, haunisumbui na vi angle uchwara via kupotosha., giving a false illusion through altered perspectives.., nyambaff🤣🤣🤣🤣.,
Hii ndio sehemu muhimu ya Dar na Tanzania yoote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣., kwenda kabisa., Mombasa ni mwenzenu na zaidi💪💪😂😂
FB_IMG_1712869546335.jpg

1666697306013.png
 
Dar ndio hii hapa.., ama Kuna nyingine, haunisumbui na vi angle uchwara via kupotosha., giving a false illusion through altered perspectives.., nyambaff🤣🤣🤣🤣.,
Hii ndio sehemu muhimu ya Dar na Tanzania yoote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣., kwenda kabisa., Mombasa ni mwenzenu na zaidi💪💪😂😂
View attachment 3021622
View attachment 3021630
Unaendelea kuweka takataka humu 🤣 🤣 🤣 🤣 Hakika nyie wakenya ni wavumilivu sana.
 
Infact it’s the opposite… mabati Rolling mills terminal was their response to our Greenfield…. Bongo is the king of knee jerk reaction against Kenya… always!…🤣🤣
Where is your fucking Greenfield terminal then??? Hivi wewe no kichwa?? Yani kitu ambacho kipo linashindana na kitu ambacho kipo kwenye thin air!!?
 
Hakuna cha tax bill hawa watu ni abject poverty and idleness ndio inawatafuna, Tanzania hutopata watu waliokosa shughuli kwa wingi huu, Kunyaland ni poverty HQ kwa Africa, they got nothing to loose sababu hata wakikaa nyumbani bado watashinda njaa bora wakaoge na maji ya serikali

View: https://youtu.be/Y1Scqw5epho?si=YpVpFG86wFUwYYqp

Wakati watanzania wenye akili timamu wanawapongeza vijana wa Kenya huko twitter na tiktok kwa kutetea haki za wananchi , mpumbavu mmoja asiejua kutofautisha "lose" na "loose" ameamua kuwapinga 😂😂😂
 
Unaendelea kuweka takataka humu 🤣 🤣 🤣 🤣 Hakika nyie wakenya ni wavumilivu sana.
Inakuuma ila vumilia kaka, mwehu🤣🤣🤣🤣.., ulikwepa upande wa residential pia.., Mombasa sio Kijiji cha wavuvi Dar is slum..., ukiondoa CBD na vi estate vichache vya maana unabakia na uswazi.., yaani uki round off Dar unapata uswazi🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom