Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna zaidi ya kahawa.Oil seeds 👇👇View attachment 3021906

Kwangu Mimi hayo mazao yote hapo Juu tuweke pesa yatupe pesa
Very weak economic base!.., buyers wakisusia tu mazao ya shamba uchumi kwisha hehehe.., bwana diversify.., uchumi wa kifukara huu., leverage na technology, retail, financial and manufacturing.., hii ni mbovu sana, very delicate kama mayai!!
1718948988123.png
 
Dar ukitoa CBD yao moja hawana lao, watabaki wakiimba BRT na SGR ya umeme kujiliwaza, na ghorofa tatu nne hivi.., mengine hawana la kujivunia mbele ya Mombasa from port operations to average living standards hawatoboi.,
Nairobi ukitoa CBD inabaki nn ?? Hebu wewe tueleze tukuskie 😂😂😂😂😂😂
 
Ulikufa wewe., mizoga zako zilishaoza zikaisha, unakaribia kuitwa "wahenga" wewe ni mhenga.., hii ni njia ya kukwepa reality. Boss leo tafuta kazi ya kufanya, hauna lolote la kuongeza wala kuondoa, satellite images sio picha uchwara ni reality huwezi pingana nazo, kazi iliisha. Kalilie chooni.
Reality gani unayozungumzia ww chizi.?😂😂😂😂 satellite images zinaonyesha quality of a place.? Yani ni sawa nichukue satellite images za morogoro nilinganidhe na Dar, kwasababu zinafanana ukubwa.? U are crazy.
 
Tanzania economy is the most diversified in EA ujue hilo kwanza 😁
Very weak economic base!.., buyers wakisusia tu mazao ya shamba uchumi kwisha hehehe.., bwana diversify.., uchumi wa kifukara huu., leverage na technology, retail, financial and manufacturing.., hii ni mbovu sana, very delicate kama mayai!!
View attachment 3021976
 
Bado hauamini dar slum imezidiwa na Mombasa!???

Dar ukitoa CBD yao moja hawana lao, watabaki wakiimba BRT na SGR ya umeme kujiliwaza, na ghorofa tatu nne hivi.., mengine hawana la kujivunia mbele ya Mombasa from port operations to average living standards hawatoboi.,
Empty talkers. 🤣🤣🤣 heb leteni picha za hayo kakazi bora hapo Mombasa, hatutaki satellite pictures. Nitakuonyesheni Mombasa inazidiwa na mji gani hapa Tz . Leo nina muda wa kutosha kujibizana na nye mbwa

Watanzania tafadhali mniache hii battle naiweza pekeangu.
 
Reality gani unayozungumzia ww chizi.?😂😂😂😂 satellite images zinaonyesha quality of a place.? Yani ni sawa nichukue satellite images za morogoro nilinganidhe na Dar, kwasababu zinafanana ukubwa.? U are crazy.
Mzee hakuna mtaa wa kifahari dar slum inafikia Nyali, tuliza roho, ndoto ya kila mtanzania ni kufika Mombasa.
 
Back
Top Bottom