President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,798
Tuambie. Kwenye uchumi Cost of Living inapimwa na indicator gani? 🤣 🤣 🤣 🤣 Education System ya Mama Ngina imekula ubongo wa wakenya.Mimi nimeongelea cost of living, yeye mwenye akaleta Purchasing Power eti wako na high purchasing power kisa cost of living yao Iko chini. Nikamwambia purchasing power na cost of living ni vitu viwili tofauti yeye ananiletea tofauti ya PPP ya nchi. Sasa namwambia pia PPP na purchasing power ni vitu viwili tofauti anasema tulimaanisha PPP sahii tunageuza. Tulimaanisha na nanai? Si yeye mwenyewe ameleta PPP into the conversation? Hii ndio shida ya kujiweka kwa mijadala huelewi.😂😂😂
Kwa kifupi
Hakuna indicator kwenye uchumi inaitwa Cost of Living


