Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SERIKALI KUAJIRI WATUMISHI 12,000 WA KADA YA UALIMU Naibu Waziri, @ortamisemitz
anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katimba amesema mwaka 2023/24, serikali inatarajia kuajiri walimu 12,000 wa masomo mbalimbali wakiwemo wa sayansi ambao watapangiwa vituo vya kazi katika maeneo yenye upungufu mkubwa ikiwemo Halmashauri ya Wilaya ya Meatu.

Wakenya Ajira lini
 
WINE Nzuri sana Made in Tanzania
1718101399193.png
 
Bus ni zaidi ya hio na so called traders hawaja ditch.
Kuna options mbili
1.Bus for more or less the same but 10hr journey
2.Flight for ten times that amount.
You normally say the cost of living in Kenya is extremely high. This is showing a very different picture.
 
Ngoja miweze kuchanganua Usafiri wa Treni ya umeme kutoka Dar to Dodoma kimahesabu zaidi

1. Treni hizi zinauwezo wa kubeba abiria 500 kwa mara moja
2. Tumeambiwa Nauli ya kwenda dodoma ni Tsh 31,000
3. Cost ya Umeme kutoka Dar to Dodoma ni Tsh 1,200,000
4. Other operational cost Tsh 2,000,000

MAHESABU

Tuchukulie wastani wa Abiria 300 ndio wanaoenda dodoma

Route 1: *300 x Tsh 31,000 = Tsh 9,300,000 *
Operational Cost Tsh 2,000,000 + 1,200,000 = 3,100,000
NET Per Route: Tsh 6,200,000


Tukisema kwa kuanzia kila baada ya Saa moja treni moja inatoka Dar na nyingine inatoka Dodoma.
It means kwa lisaa limoja tupo na treni mbili zinaanza safari.
Kwa masaa 12 tutakuwa na Route:

Total Routes per Day: 12 x 2 = 24

Total Revenue Per Day kutokana na Treni za Abiria:

TOTAL NET REVENUE 6,200,000 x 24 =Tsh 148,800,000/Day
 
Naendelea kudadavua Namna TRC watakuwa wakipata pesa kutokana na Treni ya Umeme ya Abiria
Tumekubaliana:
TOTAL NET REVENUE 6,200,000 x 24 =Tsh 148,800,000/Day

Net Revenue per Month = Tsh 148,800,000 x 30 = Tsh 4,464,000,000/Month

Net Revenue Per Year Tsh 4,464,000,000 x 12 = Tsh 53,568,000,000/Year

Hapa tunaongelea only Treni za abiria
 
Wakenya wameishiwa Pumizi
WAZIRI KAIRUKI ATETA NA WAZIRI WA UTALII WA INDONESIA NCHINI HISPANIA

Na Mwandishi Wetu, Barcelona-Hispania

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) mapema leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Utalii na Uchumi wa Jamhuri ya Indonesia, Mhe. Sandiaga Salahuddin Uno ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano katika Sekta ya Maliasili na Utalii.

1718110183613.png


1718110206150.png
 
Back
Top Bottom