Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is laughable😂😂😂 bati kushoto bati kulia kioo cha dirisha la nyumba katikati.
Hawa waende wakawadanganye wanaijeria huko. Hata hivyo KiberaWalker aka NairobiWalker walimpiga za uso wanaijeria. Alikimbia hajaonekana tena.
Anatembea kila social media kutukana nchi za watu 🤣 🤣 🤣 🤣

1718192242106.png
 
According to reasoning yao watakuambia wako na high purchasing power than Americans ama Europeans😂😂
Wendawazimu hawa..., ndio maana Uganda is almost ranked at par with them yet it is landlocked.., 2023 poverty index Tz iko same level na uganda, and it is bigger with fertile land, has a port and bigger population.., poverty ya Tanzania ni laana na ujinga..,
 
PPP na purchasing power ni vitu viwili tofauti. Nimekwambia urudi shule. Una mengi ya kujifunza.🚮🚮🚮
Nani alikuwa anaongelea PPP hapa? Kumbe ulirukia discussion yenye hujui imetokea wapi na inaelekea wapi?😂😂😂

Ama wewe anytime umeona the phrase purchasing power mind Yako inaruka kwa currency? Mimi nilikuwa napngelea individual spending/purchasing power.

Purchasing power na PPP nani hafahamu ni tofauti, mlimaanisha PPP baadae mnabadili na kusema ni PP, upumbavu wa kusema kutokua na mall ni ishara ya kuwa na PP ndogo ni ujinga, hakuna uhusiano, moja kwa moja ilimaanisha PPP, kwamba malls hakuna kwa sababu watu hawana uwezo ku purchase...

Mnaandika ujinga..

Hili lingine linakana halikuwa linamaanisha PPP bali individual spending... yani hamueleweki...
 
Wendawazimu hawa..., ndio maana Uganda is almost ranked at par with them yet it is landlocked.., 2023 poverty index Tz iko same level na uganda, and it is bigger with fertile land, has a port and bigger population.., poverty ya Tanzania ni laana na ujinga..,
Pumbaf, ndio ndio maana mnajichamba na makaratasi, jamaa wachafu sana nyie, mkienda kwa choo mnajipangusa na karatasi na majani... halafu mnajikuta viingereza broken vingiii... bado mnaishi kama wanyama pori..
 
Wendawazimu hawa..., ndio maana Uganda is almost ranked at par with them yet it is landlocked.., 2023 poverty index Tz iko same level na uganda, and it is bigger with fertile land, has a port and bigger population.., poverty ya Tanzania ni laana na ujinga..,
Una ruka ruka ukitaja ranks vitu kwa ground vinasema otherwise 🤣🤣🤣🤣 wewe ni mpumbavu tu kama hao wenzako, walau ungekua mjinga ungekua umeshaelimishwa na huu uzi hadi sasa, ila wewe ni mpumbavu huwezi eliminate kamwe.. hafunzwi maana asuejua maana . Baki na upumbavu wako.
 
Don't dare kulinganisha developed countries na developing countries, kshs ni kubwa kuliko Japanese yen, je wewe mkenya ukienda Japan utatamba? Lkn kwnn hujiulizi mjapan wa kawaida akija Kenya anatamba, elimu yenu mbovu sana na ndiyo maana tukijadiliana humu mkishindwa mnaanza kutaja USA wasenge nyinyi.
Mpumbavu anaangalia currency analinganisha na issue ya purchasing power, ujinga mzigo, hauna uwelewa unakurupuka tu kimandazi, kukimya sio dhambi kaka..., mbona mnapenda kujianika wazi wazi mlivyo maboya?. hehehehe
 
Una ruka ruka ukitaja ranks vitu kwa ground vinasema otherwise 🤣🤣🤣🤣 wewe ni mpumbavu tu kama hao wenzako, walau ungekua mjinga ungekua umeshaelimishwa na huu uzi hadi sasa, ila wewe ni mpumbavu huwezi eliminate kamwe.. hafunzwi maana asuejua maana . Baki na upumbavu wako.
Sasa wewe ndio headboy ya wapumbavu humu level yako ni vipicha na kunifunza kiswahili., relax, sehemu yako tushaijua.., leta mapicha na copy pastes..., tutaelewana.., hehehe
 
Mpumbavu anaangalia currency analinganisha na issue ya purchasing power, ujinga mzigo, hauna uwelewa unakurupuka tu kimandazi, kukimya sio dhambi kaka..., mbona mnapenda kujianika wazi wazi mlivyo maboya?. hehehehe
Wewe pumbavu unayetaka kulinganisha purchasing power ya developed countries against developing countries nakuuliza ksh ni kubwa kuliko Japanese yen, je wewe mkund.u kunuk.a from kibera unaweza ku survive Japan na dafu lako kshs za kuokoteza? Kama huwezi mbona a poorly Japanese anaweza ku survive kunako failed state bila shida yoyote? Nasema hivi kwasababu nawaona mlivyo na elimu finyu, mnachanganya habari mbwa nyie, nafikiri somo limewafikia na hamtoleta tena ubishi huu wa kifalamanga.
 
Boss linda airport, elimu hauna, punguza mdomo kaka, hatutaelewana kamwe, uko down kifikra.., hehehehe
 
Mpumbavu anaangalia currency analinganisha na issue ya purchasing power, ujinga mzigo, hauna uwelewa unakurupuka tu kimandazi, kukimya sio dhambi kaka..., mbona mnapenda kujianika wazi wazi mlivyo maboya?. hehehehe
Hivi nyie mnazungumzia Purchasing power ya mtu mmoja mmoja au Purchasing power ya nchi... ?
Mwenzako anasema PP inapimwa kwa ujenzi wa malls, kweli?
Hakuna mtu haelewi tofauti ya PP na PPP, lakini toka aseme PP inapimwa kwa ujenzi wa malls nikajua anazungumzia PPP akiwa ameelezea kwa kifupi Purchasing Power...

Sasa hebu elezeni mnazungumzia PPP ama PP?
 
Kama haukunielewa na nilitumia simple illustration ya mtoto wa chekechea sina ubishi na wewe kaka.., suit your reasoning the way u deem fit.
 
Sasa wewe ndio headboy ya wapumbavu humu level yako ni vipicha na kunifunza kiswahili., relax, sehemu yako tushaijua.., leta mapicha na copy pastes..., tutaelewana.., hehehe
Wewe ni mtu mzima mpumbavu. 📌

🤣🤣🤣 mkenya aliewahi kuwa mtu muungwana na yupo tayari kujua na kujifunza maendeleo ya nchi nyingine ni Tonny tu..

Narudia tenw, wewe ni mpumbavu..
 
Back
Top Bottom