Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa naanza kuwagonga na takwimu. Maana issue ya Kigoma imekosa Comeback.
Idadi ya watu kwa asilimia waliotembelea Tanzania 2023 na Sababu
Macho yetu yaangazie eneo la Matibabu

View attachment 3015387

Lazima waje Tanzania kwa matibabu huduma kama hizi kwa kama sio Tanzania ni Europe

View: https://x.com/wizara_afyatz/status/1800856126319178136?t=eO7zSEJBzF89G-cOOMrTTQ&s=19
 
Sasa naanza kuweka mambo mazuri ya Tanzania Wakenya waendelee kupambana na njaa zao.

1718193577095.png
 
Wewe ni mtu mzima mpumbavu. 📌

🤣🤣🤣 mkenya aliewahi kuwa mtu muungwana na yupo tayari kujua na kujifunza maendeleo ya nchi nyingine ni Tonny tu..

Narudia tenw, wewe ni mpumbavu..
Umejisema hehehehe.., kumbe unajijua? hehehe
 
Kama haukunielewa na nilitumia simple illustration ya mtoto wa chekechea sina ubishi na wewe kaka.., suit your reasoning the way u deem fit.
Tatizo hamueleweki, mwenzako anasema anasema hili, we unakuja na yale...
Huwezi kusema purchasing power inapimwa kwa ujenzi wa malls, moja kwa moja ukitafakari hio hoja ya mwenzako ni kwamba purchasing power ya Tanzanians ipo chini kitu kinachopelekea bidhaa za kwenye malls kudoda, ndio maana hakuna ujenzi wa malls, hapo inaleta mantiki.

Lakini kusema ujenzi wa malls ni kipimo cha PP, hio sijui inatoka wapi, haileti mantiki, hivyo kila moja humu alijua mtakuwa mnazungumzia PPP.
 
Purchasing power na PPP nani hafahamu ni tofauti, mlimaanisha PPP baadae mnabadili na kusema ni PP, upumbavu wa kusema kutokua na mall ni ishara ya kuwa na PP ndogo ni ujinga, hakuna uhusiano, moja kwa moja ilimaanisha PPP, kwamba malls hakuna kwa sababu watu hawana uwezo ku purchase...

Mnaandika ujinga..

Hili lingine linakana halikuwa linamaanisha PPP bali individual spending... yani hamueleweki...
Ebu quote hiyo post ambayo tumeongelea PPP humu.
 
Tatizo hamueleweki, mwenzako anasema anasema hili, we unakuja na yale...
Huwezi kusema purchasing power inapimwa kwa ujenzi wa malls, moja kwa moja ukitafakari hio hoja ya mwenzako ni kwamba purchasing power ya Tanzanians ipo chini kitu kinachopelekea bidhaa za kwenye malls kudoda, ndio maana hakuna ujenzi wa malls, hapo inaleta mantiki.

Lakini kusema ujenzi wa malls ni kipimo cha PP, hio sijui inatoka wapi, haileti mantiki, hivyo kila moja humu alijua mtakuwa mnazungumzia PPP.
Respond to my reply only.., umetapatapa tu trying to defend your position, a skewed reasoning.., boss fyata.
 
Kuelimisha mtanzania ni ngumu mno, akili ziliduaa, a simple thing they can't wrap their mind around it, wanachosha, kha! Wengine ni kujitia hamnazo kimaksudi..,
Mimi nimeongelea cost of living, yeye mwenyewe akaleta Purchasing Power eti wako na high purchasing power kisa cost of living yao Iko chini. Nikamwambia purchasing power na cost of living ni vitu viwili tofauti yeye ananiletea tofauti ya PPP ya nchi. Sasa namwambia pia PPP na purchasing power ni vitu viwili tofauti anasema tulimaanisha PPP sahii tunageuza. Tulimaanisha na nani? Si yeye mwenyewe ameleta PPP into the conversation? Hii ndio shida ya kujiweka kwa mijadala huelewi.😂😂😂
 
Back
Top Bottom