ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Itabidi tupange siku moja tukutane wote sehemu moja tujipongeze 😃😃😃😃Karibu mzee. Tutakutana siku moja hapo.
Itabidi tupange siku moja tukutane wote sehemu moja tujipongeze 😃😃😃😃Karibu mzee. Tutakutana siku moja hapo.
Unataka bwana .? Post hiyo South C yako 🤣🤣🤣Dasilinga ndio upuzi gani sasa.
Hapa hapafikii hata South C pekee.
Mtajua wenyewe zigo lenu jingine la misumari 😁😁Kwa hapa wamechemka tena wamechemka Vibaya Sana 😃😃😃😃
Mume wa Kundustan amejileta 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C8HiCPKtH-B/?igsh=MWpzeTBrdjhqMG1hZg==
Hii ndio safi na sio misaada ya mahindi na mitumba ya helicopter
wamechemka kivipi? Kuna aina mbili ya treni! Either za mchongoko au za kawaida! Kumbuka ndge ni mara mbili yake!Kwa hapa wamechemka tena wamechemka Vibaya Sana 😃😃😃😃
Ikulu nairobi haikuwa hivi! Mmejaribu kuiga!Imagine the difference
View attachment 3015631
Siku utakuwa na pesa utaacha kukula takataka. Tafuta pesa uache kukula kama chokoraa.Unajua shawarma ni nini.? 🤣🤣🤣
Hakika. Hawa wenzetu kutoka Kaskazini mwendo wameumaliza.Itabidi tupange siku moja tukutane wote sehemu moja tujipongeze 😃😃😃😃
Hujui shawarma kima wewe, nitolee ushamba hapa. 🤣🤣Siku itakuwa na pesa utaacha kukula takataka. Tafuta pesa uache kukula kama chokoraa.
Hao wakenya nafanya nao kazi. Ukweli wanaujua kuwa Tanzania iko far better and developed kuliko Kenya. Lakin online hawawez kutamka wazi na huwa wanajificha kwenye fake Cooked Data.Yenye mwenyewe kasema ni village, tena very remote lakini naona wapo advanced zaidi ya naislum na Moyale CBD
View attachment 3015602
Na wale watu maskini kama Sama boy 255 mtawafanyaje? Ama mtamchangia fare ya kukuja na kurudi?😂😂Itabidi tupange siku moja tukutane wote sehemu moja tujipongeze 😃😃😃😃
Hapo wamechemka tena Vibaya Sana 😃😃😃Mtajua wenyewe zigo lenu jingine la misumari 😁😁
Wewe ulikula smocha May ukatunza picha hadi wa leo hili uringie watu 😂😂😂.Hujui shawarma kima wewe, nitolee ushamba hapa. 🤣🤣
Au mnajiandaa kugeuza Lugha kwamba Sgr ni Huduma za jamii 😂😂😂Hapo wamechemka tena Vibaya Sana 😃😃😃