Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
001
...
...
Sisi tulikwambia huyu maza hovyo mno, ulitupinga. Slowly unausoma mchezo sasa.Hii hospitali ilitakiwa ijengwe sehemu kama Kigoma Ila kwa ubinafsi wa Wazanzibari inaenda kujengwa Zanzibar 30 km from Dar es Salaam!
Unafikiria Rugby players ni semi-illiterate kama nyie, ama ni level ya ma footballers ambao wengi ni mafukara wakutokea ghetto ama vijijini? sijawai kuona Rugby player who is not a college graduate or a professional in some career, sio kama footballers kuna wengi school dropouts, ama masikini, talanta ndio inawaokoa, ikija upande wa Rugby, Golf, Tennis or Cricket huku Kenya.., hawa sio ghetto types fukara.., kukurupuka tu bila uchunguzi unajiumbua..,Ukichunguza unagundua hawa wote ni mafukara 👇👇🤣🤣🤣
View attachment 3009435
Kenya michezo hailipi kabisa, juzi kati kafa mwanamichezo wao mashuhuri kuja kuangalia hana hata nyumba, so sad😢 😢 🤣🤣🤣🤣🤣
Mombasa inauwa Dar is slum.., hehehe
Kamlesh Patni kishawahi kuwa MP huko kenya? Au hata kumiliki passport ya Kenya?? Usichanganye mafuta na maji wewe nyang'au. Hao unaowatag na wengine usiowajua wana uraia halisi wa Tanzania, tena kama hao weupe wana mpaka vyeti vya kizawa vya babu zao wanavyo. .... mpaka kadi za CCM wanazo wote 😂Waarabu ndo wamiliki wa uswazistan, nyinyi ni mashabiki. Nenda ka-google who owns Tanzania
😅😅😅😅View attachment 3008666
Naona unamuelewesha chizi...Unafikiria Rugby players ni semi-illiterate kama nyie, ama ni level ya ma footballers ambao wengi ni mafukara wakutokea ghetto ama vijijini? sijawai kuona Rugby player who is not a college graduate or a professional in some career, sio kama footballers kuna wengi school dropouts, ama masikini, talanta ndio inawaokoa, ikija upande wa Rugby, Golf, Tennis or Cricket huku Kenya.., hawa sio ghetto types fukara.., kukurupuka tu bila uchunguzi unajiumbua..,
Of course matokeo yako wazi tunaona developed country ikipokea FREE RICE from South Korea 🤣🤣🤣🤣🤣Matokeo yako wazi mifukara wa kutupwa, kalilie kwa choo.., ama hug post ya stima.,
Tuliwaomba ama walituzawadi tu? a positive gesture for a long standing bilateral friendship and cooperation.,Fukara ni yule anayechekelea GDP kubwa wakati hawezi ku afford 3 meals a day but end up receiving FREE RICE 🤣🤣🤣🤣
No Red Capet. Kaenda kama wale wauza ubuyu 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇Ikija Korea tushakula zao tukachoka, nyinyi ndio mnashtukia leo hii mnashangaa shangaa, tunaongoza na kutengeneza njia mnafata, kisha wamewacheza, washasoma akili zenu uchwara, madini lazima watafune.,
2022
View attachment 3009412
View attachment 3009413
View attachment 3009440
Kisha rais anakua na representative, sio kukutana na kila chura ovyo ovyo
View attachment 3009414
View attachment 3009415
View attachment 3009416
View attachment 3009417
2024
Mwaliko wa kila mtu, including Tanzagiza.., sio rasmi., South Korea African Summit.,
View attachment 3009428
View attachment 3009438
View attachment 3009430
View attachment 3009445
Fukara ni yule anayechekelea GDP kubwa wakati hawezi ku afford 3 meals a day but end up receiving FREE RICE 🤣🤣🤣🤣Matokeo yako wazi mifukara wa kutupwa, kalilie kwa choo.., ama hug post ya stima.,
Hio dar slum saivi haina lolote, meli zote zikiharibika zinaletwa Mombasa kwenye wahandisi wakimataifa.Mombasa inauwa Dar is slum.., hehehe
Dar es salaam ipo na meli ngapi? 🤣 🤣 🤣Hio dar slum saivi haina lolote, meli zote zikiharibika zinaletwa Mombasa kwenye wahandisi wakimataifa.
😅😅😅😅
Mimi hapa Alumni wa Mugabe primary school, nipo hapa.😂😂In Tanzania ni jambo la kawaida sana.
We have
1. Mugabe School
2. Muammar Gaddafi
3. Nelson Mandela
Na kuendelea. Tatizo education system ya kenya is very low.
View attachment 3009147
Kwani wanakuzawadia tuu bila kujua hali halisi mbona wasizawadie Tanzania? Unaweza kweli ukazawadia USA rice? Tumia akili wewe Ruto kaenda na request ya chakula.Tuliwaomba ama walituzawadi tu? a positive gesture for a long standing bilateral friendship and cooperation.,
Kwa kutumia hoja yako, muliomba Uganda iwajengee shule..Kwani wanakuzawadia tuu bila kujua hali halisi mbona wasizawadie Tanzania? Unaweza kweli ukazawadia USA rice? Tumia akili wewe Ruto kaenda na request ya chakula.
There's a thriving sailing industry in Kisumu..View attachment 3009335View attachment 3009336
Kwa akili hizi waarabu wataendelea kuifyonza uswazistan mpaka karne ijayo. Nyote nyinyi ni wafanyikazi katika shamba la Mo dewji, Rostam Aziz na Awadh.Kamlesh Patni kishawahi kuwa MP huko kenya? Au hata kumiliki passport ya Kenya?? Usichanganye mafuta na maji wewe nyang'au. Hao unaowatag na wengine usiowajua wana uraia halisi wa Tanzania, tena kama hao weupe wana mpaka vyeti vya kizawa vya babu zao wanavyo. .... mpaka kadi za CCM wanazo wote 😂
Kwa mfano, namjua CTO wa kampuni moja kubwa sana ya FINTECH CANADA, muhindi wa Tanzania, unafikiri holiday kwenda kitembelea ndugu zake na familia anaenda India?? Anafunga safiri na familia yake yote wanenda kwao Mwanza vijijini huko. Anajinasibu huko CANADA kote kwamba yeye ni CANADIAN-TANZANIA.
narudia, usichanganye mafuta na maji. Huko sio kama kwenu huko. Hata ukitaka kwenda kula chicken tikka unafukuzwa. Unaambiwa nenda Kibera huko 😂😂
Tulikanyaga RED CARPET tukachoka., hii marais wote wamepitia, ni kama malaya hivi, wewe ulivyo liboya unamuoa malaya kisha unadhani eti ni bikra.., bana niondolee ujinga wenu., hehehehe..,jifunze kushirikisha ubongo nanii..,
Kiongozi mbona unafupisha title za watu muhimu hivi? Title sahihi ni chief executive officer of beggars and slum dwellers in the world.Anaitwa Ruto a.k.a The Chief Executive Officer of Beggars in the world.
Huyu pimbi hajielewi mpotezee tuu.Dar es salaam ipo na meli ngapi? 🤣 🤣 🤣