Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Utatumia nguvu nyingi lakini wapi., mko pale pale, Tanzania ni ya kutafunwa, mafala kurukaKwani wanakuzawadia tuu bila kujua hali halisi mbona wasizawadie Tanzania? Unaweza kweli ukazawadia USA rice? Tumia akili wewe Ruto kaenda na request ya chakula.