Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie ndio wa kuhurumiwa, ufukara wenu ni wa juu! tazama 2024 mlivyo in GDP-PPP.., ukilinganisha na EAC giant Kenya kwa mjibu wa World bank na IMF., mnahitaji misaada na kusamehewa madeni la sivyo mtakufa nyie..., tofautisha 3,746 na 6,976., = gap ya 3230.,

Note:
Source: International Monetary Fund, World Economic Outlook April 2024. Values are expressed in current international dollars, reflecting the corresponding exchange rates and PPP adjustments.

View attachment 3009383
View attachment 3009384
View attachment 3009385
View attachment 3009388
SOURCE:
View attachment 3009390
Sasa mzee unaniletea jarida aka takataka ya kuchambia. Niifaniye nini sasa 🤣 🤣 🤣 Dunia yote inajua Education System ya Kenya is poor.
 
Sasa mzee unaniletea jarida aka takataka ya kuchambia. Niifaniye nini sasa 🤣 🤣 🤣 Dunia yote inajua Education System ya Kenya is poor.
Matokeo yako wazi mifukara wa kutupwa, kalilie kwa choo.., ama hug post ya stima.,
 
Matokeo yako wazi mifukara wa kutupwa, kalilie kwa choo.., ama hug post ya stima.,
We all know. 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇

1717590215826.png
 
Nyie ndio wa kuhurumiwa, ufukara wenu ni wa juu! tazama 2024 mlivyo in GDP-PPP.., ukilinganisha na EAC giant Kenya kwa mjibu wa World economic outlook na IMF., mnahitaji misaada na kusamehewa madeni la sivyo mtakufa nyie..., tofautisha 3,746 na 6,976., = gap ya 3230.,

Note:
Source: International Monetary Fund, World Economic Outlook April 2024. Values are expressed in current international dollars, reflecting the corresponding exchange rates and PPP adjustments.

View attachment 3009383
View attachment 3009384
View attachment 3009385
View attachment 3009388
SOURCE:
View attachment 3009390
Matajiriii
 
Attachments

  • downloadfile-37.jpg
    downloadfile-37.jpg
    109.7 KB · Views: 8
Hii hapa ndio Diplomatic Meeting baina ya Tanzania President na Korea President.
Washamba wa Mama Ngina elimu yao ni duni

Bendera ni kubwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul tarehe 02 Juni, 2024.
View attachment 3009375

View attachment 3009376
Hivi yule Beggar mkuu alialikwa na nani? Mbona ghafla akajipenyeza kwenye ziara ya rais wa Tanzania pasipo kualikwa?
 
Am gonna frame this photo … it deserves a place for future generations…🤣🤣🤣🤣
View attachment 3009370
🤣🤣🤣 mzee mmekula kichapo hadi mmeona muondoke na hii kama ndio haueni yenu. Huu hapa mkutano rasmi kati ya serikali ya Tz na Kerea 👇
ikulu_mawasiliano-20240605-0004.jpg
ikulu_mawasiliano-20240605-0005.jpg
mikutano tulifanya mingi mno
downloadfile-10.png
downloadfile-13.png
huu hapa ni mkutano kati ya Tz na wawekezaji wa Korea👇
ikulu_mawasiliano-20240605-0001.jpg
ikulu_mawasiliano-20240605-0003.jpg
huu hapa ni mkutano kati ya Tanzania na South Korean film directors 👇
View: https://www.instagram.com/p/C7qvrGztE2F/?igsh=am9jc2ZrMjFoaGY2. Chagua wewe sasa utaamua ku save picha ipi ili uje uwaonyeshe watoto wako 🤣🤣🤣🤣
 
Nyie ndio wa kuhurumiwa, ufukara wenu ni wa juu! tazama 2024 mlivyo in GDP-PPP.., ukilinganisha na EAC giant Kenya kwa mjibu wa World economic outlook na IMF., mnahitaji misaada na kusamehewa madeni la sivyo mtakufa nyie..., tofautisha 3,746 na 6,976., = gap ya 3230.,

Note:
Source: International Monetary Fund, World Economic Outlook April 2024. Values are expressed in current international dollars, reflecting the corresponding exchange rates and PPP adjustments.

View attachment 3009383
View attachment 3009384
View attachment 3009385
View attachment 3009388
SOURCE:
View attachment 3009390

Matokeo yako wazi mifukara wa kutupwa, kalilie kwa choo.., ama hug post ya stima.,
Hizi ni hasira za baada ya kupokea 400 million dollars while Tz imepatiwa 2.5 billion dollars.? 🤣🤣🤣
 
Ukiwa Rais wa Kenya ni shida tupu, wewe kutwa kucha ni kuzunguka duniani kuomba misaada tu ikiwemo ya chakula na mambo mengine, nchi haiwezi hata ku fund kamradi kadogo tu ka uwanja eti mpaka msaada, no future in Kenya. Nchi ya kimavi mavi sn hii.
 
Siwezi tamani nchi ya watu wajinga, ignorant, wenye laana ya mababu inawafata kila kizazi, yani nyie vitukuu mnaishi maisha yale yale ya mababu, ufukara wa kiaina, elimu duni, kukandamizwa, waoga waoga, kha!!! Tanzania ni makazi ya mapepo walai, mnaitaji tambiko la Damu kuu ya Yesu, sio dini wala siasa, mlirogwa nyinyi, Kenya for life.,
No future in Kenya.
 
Nyie ndio wa kuhurumiwa, ufukara wenu ni wa juu! tazama 2024 mlivyo in GDP-PPP.., ukilinganisha na EAC giant Kenya kwa mjibu wa World economic outlook na IMF., mnahitaji misaada na kusamehewa madeni la sivyo mtakufa nyie..., tofautisha 3,746 na 6,976., = gap ya 3230.,

Note:
Source: International Monetary Fund, World Economic Outlook April 2024. Values are expressed in current international dollars, reflecting the corresponding exchange rates and PPP adjustments.

View attachment 3009383
View attachment 3009384
View attachment 3009385
View attachment 3009388
SOURCE:
View attachment 3009390
Kwahiyo wewe kwa akili zako finyu unaamini hiyo report? Mnakaa chumbani mnatengeneza tengeneza vi articles ili kuichafua Tanzania, mambo ya kizamani hayo, kama mngekuwa na per capita kubwa kuliko Tanzania si mngekuwa na life expectancy kubwa kuliko Tanzania?

By the way, Tanzania ni LMIC as we speak, utake usitake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukichunguza unagundua hawa wote ni mafukara 👇👇🤣🤣🤣
IMG_20240602_220641.jpg

Kenya michezo hailipi kabisa, juzi kati kafa mwanamichezo wao mashuhuri kuja kuangalia hana hata nyumba, so sad😢 😢 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hizi ni hasira za baada ya kupokea 400 million dollars while Tz imepatiwa 2.5 billion dollars.? 🤣🤣🤣
Ikija Korea tushakula zao tukachoka, nyinyi ndio mnashtukia leo hii mnashangaa shangaa, tunaongoza na kutengeneza njia mnafata, kisha wamewacheza, washasoma akili zenu uchwara, madini lazima watafune.,

2022
1717592288633.png

1717592309584.png

1717593443370.png

Kisha rais anakua na representative, sio kukutana na kila chura ovyo ovyo
1717592406788.png

1717592484901.png

1717592506968.png

1717592520710.png

2024

Mwaliko wa kila mtu, including Tanzagiza.., sio rasmi., South Korea African Summit.,
1717592927663.png

1717593415776.png

1717593099678.png

1717593492281.png
 
Back
Top Bottom